@jzelmupenda Alhamdulillah mwenyezi mungu anatusaidia sisi wanaadamu wote kwani hakuna wakumuomba isipokuwa yeye peke yake.Anahuruma kuliko binaadamu na anatunusuru na mengi.Huyo anasema uongo na bibilia imekataza uongo.Ameombwa na waisilamu wakutane pamoja na waitwe waumini waisilamu na wakristo...