Overall not a bad collabo. I like seeing collabos manake kila kitu tufanyacho sisi waafrika mashiriki hasa baina ya wakenya na watanzania lazima ionekane au itafsiriwe kama ni shindano. Halafu, Mambo ya kukosoana na kutusiana yanaanza. Labda ni kama ndugu za familia moja kila mmoja anajaribu kupi...
Poleni sana kwa msiba huu mkubwa unaowakumba. Ni ajabu kwamba wale waliohusika kwa kusababisha ajali hiyo hawana utu hata kumhurumia na kumsaidia huyu mtoto aliyeachwa hohehahe. Sasa ni wajibu wa serikali itekeleza jukumu lake kuwakamata na kuchukua hatua thabiti ili haki itendeke...
Damn! the attack is on