About this user
Ninajivunia Tauhidi. Ndiyo swifa ninayoizingatia zaidi kuliko huo ukabila. Hivi nimo Ulaya, chambilecho ughaibuni, ninakozumbua riziki kwa kusomesha Kiswahili. Mara moja moja husikika nikitetemesha mawimbi ya mwengoya kwa lugha ya Kiswahili.
Age
44
Country
Germany
Occupation
Kiswahili Kitukuzwe!