Upload
92,385

Subscription preferences

Loading...

Loading icon Loading...

Working...

K24TV

Bweta La Uhalifu : Rufaa Mahututi

5,581 views 5 days ago
Hospitali ya rufaa ya Kenyatta imekabiliwa na changamoto nyingi, kutokana na idadi ya wagonjwa inaopokea kila siku kutoka kila pembe ya nchi na kanda hii. Hata hivyo, labda lisilojulikana na wengi ni masaibu wanayopitia wagonjwa katika kitengo cha kuwapokea wagonjwa wanaohitaji matibabu ya dharura au waliohusika kwenye ajali. Hospitali hiyo ilituahidi kuzungumzia suala hilo, na hadi leo ahadi hiyo haijatimia. Mwanahabari wetu mpekuzi ameibuka tena na makala ya bweta la uhalifu ambapo kwa mwaka mmoja, ameshuhudia masaibu ya wagonjwa wanaolazimika kusubiri hadi siku 3 kabla ya kupokea matibabu ya dharura, huku akishuhudia 7 wakifariki. Show less
Read more

Kenya Live Play

Faraja Play

Baada Ya dhiki, huja faraja. Waliovuka mto wa dhiki na hadithi zao, kila Ijumaa na Jumamosi katika K24 Tv
Loading...
Working...
to add this to Watch Later

Add to