Alert icon
Alert icon
Alert icon
Alert icon
Alert icon
SwahiliHub

SwahiliHub's channel

by SwahiliHub

Loading...

18 subscribers
17,245 video views
1 day ago

Je,wajua mtaa wa Ngara?

Je wajua asili ya jina la mtaa mashuhuri jijini Nairobi wa Ngara? Mwanahabari wa NTV Lolani Kalu anasimulia.

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
1 month ago

Utalii siku ya Pasaka

Wakaazi wengi wa nairobi husafiri makwao katika sehemu za mashambani wakati wa likizo kama hii ya pasaka. Hatahivyo kuna baadhi ambao huchukua furs...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
1 month ago

Wamalwa amkosoa Mutula

http://www.swahilihub.com

Waziri mpya wa Haki na maswala ya sheria eugene wamalwa anamlaumu waziri aliyemtangulia mutula kilonzo kwa kuingiza siasa...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
1 month ago

Mtu 1 afariki baada ya kunywa chang'aa.mov

http://www.swahilihub.com

Rais Mwai Kibaki ametoa onyo kali dhidi ya unywaji pombe haramu na ulevi wa kupindukia miongoni mwa wakazi wa mkoa wa kat...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
1 month ago

Serikali haiko tayari kukabiliana na athari za mvua

http://www.swahilihub.com

Msimu wa mvua hatimaye umewadia, na kama kawaida wasafiri wameanza kuhangaishwa na hali mbaya ya barabara. Msimu wa jua u...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
1 month ago

Watu 8 wafariki katika mkasa wa maporomoko Mathare

http://www.swahilihub.com

Watu wanane wamefariki mtaani Mathare kufuatia maporomo ya mawe yaliyosababishwa na mvua. Watu wengine wanane wamelazwa h...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
1 month ago

Hatari iliyomo mitaa ya mabanda

http://www.ntv.co.ke

Frank Odongo ni mmoja wa wale walionusurika katika mkasa huo mtaani Mathare. Nyumba yake iliangukiwa na mawe lakini aliweza ku...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Masomo ya kielektroniki Kilgoris

Mradi wa elimu kupitia mtandao intaneti unaendelea nchini huku eneo la kwanza kupata vifaa vya e-reader ukianza kuwa na ufanisi hapa nchini. Matu...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Mafuta ya Turkana

Turkana ndio jina limo midomoni mwa wakenya wengi na hata wasiokuwa wakenya nje ya taifa hili baada ya mafuta kuvumbuliwa katika kijiji cha kodeko...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Serikali yaanzisha mradi ya kulea wazee

Sasa nakurudisha pwani ya Kenya...na hii leo waziri Mkuu Raila Odinga amezindua mpango wa kuwalea wazee wa kuwapa shilingi elfu mbili kila mwezi m...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Balala azungumzia kuvutwa kazi

Sasa tugeukie suala la mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo leo chama cha kitaifa cha viongozi wa waislamu, namlef kimesema kuwa mkataba wa...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Askari wa G4S ahusika katika wizi wa benki Mombasa

Kampuni ya Ulinzi ya G4S imejipata tena katika vyombo vya habari kuhusiana na wizi wa shilingi milioni kumi na nne katika tawi moja la KCB mjini M...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Maoni ya Martha Karua kuhusu mafuta ya Turkana

Wakati huohuo kuvumbuliwa kwa mafuta katika jimbo la turkana kunaendelea matumaini na tahadhari humu nchini. Mwenyekiti wa chama cha narc kenya m...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Kliniki ya macho ya NMG

Watu wasiopungua milioni nne wana matatizo ya macho na wengi wao huenda wakawa vipofu kwa kutopata matibabu. Shirika la nation media group kwa ushi...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Maoni kuhusu GEMA

Huenda naibu waziri mkuu uhuru kenyatta akajipata matatani na chama chake cha kanu baada ya wanachama wake kusema kuwa uhuru alishindwa kutetea cha...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Kijana aliyetekwa nyara Nyeri aokolewa

Maafisa wa polisi mjini Nyeri wamemuokoa kijana wa miaka 21 aliyetekwa nyara mjini Kagumo katika jimbo la Kirinyaga. Erastus Kinyua ambaye ni mto...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

MRC waharibu majaribio ya uchaguzi Malindi

Uchaguzi wa mwigo uliokusudiwa kufanyika Malindi haukufanyika baada ya vijana wanaodhaniwa kuwa wa Kundi la Mombasa Republican Council, MRC kuzua r...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Uchaguzi wa majaribio Kajiado

Wakati huohuo kulikuwa na hali shwari katika uchaguzi wa mwigo ulioandaliwa katika jimbo la kajiado. Kulikuwa na vituo vitatu vya kupigia kura na...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
2 months ago

Mwanahabari Itumbi akamatwa na polisi

Mwanahabaribari na mwanablogu Dennis Itumbi alikamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa CID kuhusu madai kwamba alidakua barua pepe za mkuu wa mahakama y...

SwahiliHub SwahiliHub uploaded
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more
    to add this to a playlist