Added: 5 years ago
From: delp307
Views: 45,588
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (32)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Nyimbo safi sana hii, ukweli hudumu... miaka nenda rudi.....

  • this song rocks

  • This is interesting vid napenda tanzania good melody

  • Sweet melody! Great artist

  • @EYEWEWPE He is a great artist.This is great music from Tanzania.I love this guy.

  • dis song

    is ma favor

  • 3:54-4:00 funny and This guy is really hearthy

  • this video is so descriptive and so freaking funny...kweli umenena ndugu..haha

  • kweli fanya mazowezi

  • LOL!!..........

  • sauti poa wimbo wenye ukweli wa maisha kip it up bana

  • nikawakuta wameshaondoka??? inawezekana kweli?? duh aisee hii lugha ni ngumu si mchezo :)

  • Bizman fanya mazoezi kidogo tumbo hilo lipungue kidogo yalokupata si haki, lakini wapo wanaume washunzi zaidi!

  • Kibao kizuri chenye ukweli wa kimaisha. Si wewe peke yako yashanikuta na mie!! Hivi sasa natafuta mwingine. Nawaheshimu sana akina dada lakini kuna wengine ambao kweli hawajali. Ni ulimwengu wa visa na mikasa. Nipo hapa Ujerumani napigwa na baridi hivi sasa mpaka nitakapompata mwingine wa kunipenda. Jamani maisha ni safari kweli, milima na mabonde, kupanda na kushuka, ama kweli duniani kuna mambo mazito!

  • kipanzi ya kweli hayo!

  • huyo mpaka umpakue kisawasawa ndio atatulia ,sio umpakue bao mbili itakua hatulii kwako.

  • Delp 307 tunakupongeza sana kwa track hii. Ila tunaomba kama inawezekana utuwekee track hizi: Shoga(Fina Mango), Zuwena,Harusi(Mr Paul), Asante(Bob Rudala).

  • oh my God,kumbe viungulia wako kila pembe ya dunia?kweli dunia msumeno....................una­okata huku na kule.

  • Comment removed

  • ooooo uruma heinn. this is sad I hope people don't act like that.

  • excellent instrument,

  • mambo ya bafuni wawili poa sana na mziki huu ni poa sana

  • kama wewe humtoshelezi hana budi kutoroshwa mwenzetu

  • i loved this song and the video it's too funny. Lakini pole Bizzman.

  • bizz man usiwe na hudhuni sana njoo kwangu mimi muna nipo america

  • i like that bathroom ,passport size style

  • Walimwengu hao bwana, kazi kuchunana tu!

  • Lol

  • not bad

  • Nice song,listen to the words.

  • kuma mbuziiiiiiiiiiiiiiiii

  • deep meaning here..dont trust a long time buddy with yo wife...anything can happen....this guy, BIZMAN is not TALL!!!!

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more