Asante Bart kwa kuiupload hizo clips za Msondo. Mbwembwe, Moshi na sasa Maina. Nawahurumia familia wao na pole kwa Kamanda Gurumo na waliobaki bendi, keep on playing!
kweli mmepata pigo miaka hii ya karibuni haswa nikikumbuka mwaka 2003 nilikuwa nanyi kule songea Ruvuma uwanja wa AKIWEPO majimaji ALIKUWEPO sELEMAN MBWEMBWE KUANZIA HAPO VIFO VIMEIANDAMA BAND HII HADI LEO HII 2008 SIJUI NDUGU ZANGU MPO WANGAPI HAI
RIP Mwanyiro, Maina, Momba, Moshi,, Mbwembwe! Laleni Salama, na endelezeni libeneke huko mlipo!
msamaria120 2 years ago
Asante Bart kwa kuiupload hizo clips za Msondo. Mbwembwe, Moshi na sasa Maina. Nawahurumia familia wao na pole kwa Kamanda Gurumo na waliobaki bendi, keep on playing!
MartinEdbom 3 years ago
Poleni sana wapenzi wa msondo ngoma...
hakika nikiwa mmoja wa wanazi wa msondo tangu ikiwa juwata hakika ni pengo jingine sasa TUMEONDOKEWA NA JOSEPH MAHINA ...
Pumzika kwa amani maina...RIP
edondaki 3 years ago
Bedankt voor de post bartjelsma.
helsloot 3 years ago
ALi Rashidi Sadi Aliy Romani, Mnyupe Uvuruge kAMANADA WANGU RIDHIWANI MNYALUKOLO ENDELEZENI NGOMA Mpiga BASS HONGERA
SJoelyKilonzo 3 years ago
Msondo Ngoma
kweli mmepata pigo miaka hii ya karibuni haswa nikikumbuka mwaka 2003 nilikuwa nanyi kule songea Ruvuma uwanja wa AKIWEPO majimaji ALIKUWEPO sELEMAN MBWEMBWE KUANZIA HAPO VIFO VIMEIANDAMA BAND HII HADI LEO HII 2008 SIJUI NDUGU ZANGU MPO WANGAPI HAI
SJoelyKilonzo 3 years ago
Kweli kizuri hakidumu
Ndugu yangu Moshi Tx Mungu akuweke mahali pema peponi
sauti yako ilikuwa Radi na ulkuwa mtunzi mzuri ktk BAND YETU Msondo lakini umetutoka SAUTI YAKO HAITUTOKA MASIKIONO MWETU
nAMUOMBA MUNGU AKUPE PUMZIKO NA RAHA TELE HUKO ULIKO
aSHA mwan seif futa machozi hayo ni mapenzi yamungu
SJoelyKilonzo 3 years ago