yaani nyerere ndio alituachia usia huo wa kuuana? wewe nahisi si mtanzania,ndio nyie wakongo mnaoleta vurugu tu.unaongea pumba tu.hivi unajua hata kuuliwa kwa albino ilianzia wapi?
misingi ya nyerere mojawapo ni kukufanya wewe kukaa na kuishi na watu tofauti ki kabila na kiitikadi.toeni sifa sehemu inayostahiki sio kudidimiza tu..au mpaka babu yako ndio angekuwa kiongozi ndio ungesifia!!
Imani za kichawi alizoanzisha Nyerere, Ndizo zinazopelekea ALBINO kuuawa Tanzania. Wachawi na waganga wa kienyeji wana wateja wengi. Wengi wao ni wanasiasa wa CCM. Kutumia mbinu za kishirikina kubaki madarakani ni siri iliyo wazi Tanzania. Hatukosei kusema kwamba CCM ndio wanaowaua ALBINO. Wao ndio watumiaji wakubwa wa dawa zinazotengenezwa kutoka viungo vya ALBINO. Tunataka mahakama za kimataifa ziangalie suala hili. Walemavu Tanzania ni mtaji wa kuwaweka CCM madarakani. Msingi wa Nyerere.
Nyerere UJAMAA wake uliiharibu TANZANIA. CCM Imezeeka. Alisema ujamaa ni imani. Kama haikuwa imani kwa Mungu ilikuwa imani kwa nani kama siyo shetani? Msingi wa siasa za Tanzania ulijengwa katika ushirikina na uchawi. Siyo ajabu Tanzania ina export wachawi nchi jirani. Utaona mabango yaliyoandikwa MCHAWI MAARUFU KUTOKA TZ. Tuubomoe msingi mbovu wa Nyerere tujenge msingi mpya katika Imani ya MUNGU. Zeruzeru au ALBINO wanauawa kwa wingi Tanzania ili viungo vyao vitumike kutengeneza uchawi.
Ni siri iliyo wazi kwamba Nyerere aliamini katika ushirikina. Nchi aliizindika kwa mizimu. Utamaduni wa watanzania kuegemea zaidi katika imani za kichawi, ulianzishwa na Nyyerere. Wanamwita baba wa Taifa, mimi naona jina linalomfaa zaidi ni muuaji wa ALBINO. Ni sababu yake ndiyo ZERUZERU wanawindwa kama wanyama pori Tanzania. CCM chama alichoanzisha, Viongozi wake karibu wote ni washirikina. Wao ndio wanaoifanya biashara haramu ya viungo vya ALBINO ishamiri Tanzania. Na sasa nasikia hata Kenya.
munishi bure kabisa
mwanamuciare100 10 months ago
wape kweli munishi
kwani kweli inauma
MyShau 1 year ago
acha ushamba wewe,SAMMYWACIAMA,
yaani nyerere ndio alituachia usia huo wa kuuana? wewe nahisi si mtanzania,ndio nyie wakongo mnaoleta vurugu tu.unaongea pumba tu.hivi unajua hata kuuliwa kwa albino ilianzia wapi?
misingi ya nyerere mojawapo ni kukufanya wewe kukaa na kuishi na watu tofauti ki kabila na kiitikadi.toeni sifa sehemu inayostahiki sio kudidimiza tu..au mpaka babu yako ndio angekuwa kiongozi ndio ungesifia!!
Yasseinn 1 year ago
Imani za kichawi alizoanzisha Nyerere, Ndizo zinazopelekea ALBINO kuuawa Tanzania. Wachawi na waganga wa kienyeji wana wateja wengi. Wengi wao ni wanasiasa wa CCM. Kutumia mbinu za kishirikina kubaki madarakani ni siri iliyo wazi Tanzania. Hatukosei kusema kwamba CCM ndio wanaowaua ALBINO. Wao ndio watumiaji wakubwa wa dawa zinazotengenezwa kutoka viungo vya ALBINO. Tunataka mahakama za kimataifa ziangalie suala hili. Walemavu Tanzania ni mtaji wa kuwaweka CCM madarakani. Msingi wa Nyerere.
sammywaciama 2 years ago
Nyerere UJAMAA wake uliiharibu TANZANIA. CCM Imezeeka. Alisema ujamaa ni imani. Kama haikuwa imani kwa Mungu ilikuwa imani kwa nani kama siyo shetani? Msingi wa siasa za Tanzania ulijengwa katika ushirikina na uchawi. Siyo ajabu Tanzania ina export wachawi nchi jirani. Utaona mabango yaliyoandikwa MCHAWI MAARUFU KUTOKA TZ. Tuubomoe msingi mbovu wa Nyerere tujenge msingi mpya katika Imani ya MUNGU. Zeruzeru au ALBINO wanauawa kwa wingi Tanzania ili viungo vyao vitumike kutengeneza uchawi.
sammywaciama 2 years ago
Ni siri iliyo wazi kwamba Nyerere aliamini katika ushirikina. Nchi aliizindika kwa mizimu. Utamaduni wa watanzania kuegemea zaidi katika imani za kichawi, ulianzishwa na Nyyerere. Wanamwita baba wa Taifa, mimi naona jina linalomfaa zaidi ni muuaji wa ALBINO. Ni sababu yake ndiyo ZERUZERU wanawindwa kama wanyama pori Tanzania. CCM chama alichoanzisha, Viongozi wake karibu wote ni washirikina. Wao ndio wanaoifanya biashara haramu ya viungo vya ALBINO ishamiri Tanzania. Na sasa nasikia hata Kenya.
Munishi2 2 years ago