Well for me, this takes me to when I was a salesman and i had the previlege to travel all over coastal rural areas to even over the border to TZ. I dream to retire there Inshallah.
Jameni muziki wanafanya nitulie tuli! Hata mi pia nataka kuirusha roho yangu, lakini huku viziwa vya japan kuna papa na nyangumi, wataimeza roho yangu.....Aah, asante kwa kwa kunikumbusha raha za mombasa Casuarina....
hey, asha othman, onaringa saana na onaharibu nyimbo za wenzako. watu wengine wanacheza lakini hawaringi kama wewe. na iyo gauni ya purple iko shambolic
big up East African Melody Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
mmmmh i love this song i remember when i was in mombasa last year mi n friends at pirate beach kiriama taabu kwa mbali na gomba si mwajua tena mambo ya pwani
wapi wenye mapepe!!!
kennedychesoli 2 years ago
oyaaa zanzibar,tutarudi kijiweni inshaalla.
selaboy 2 years ago
very inspiring...napenda
mwassikitoko 2 years ago
nyumbani ni nyumbabi. Akina mama poa.
Generalidibabu 2 years ago
Well for me, this takes me to when I was a salesman and i had the previlege to travel all over coastal rural areas to even over the border to TZ. I dream to retire there Inshallah.
Fezzoh18 3 years ago
shukrani akina mama .
Generalidibabu 3 years ago
its "yangu yakininyongea wimbo mwaona"
sdimaka 4 years ago
Yangu yakininyookea wenzangu wivu mwaona mmesahau yakua mtoaji SUBUHANA. Kweli kabisaaaaa. Mashaallah.
latifa66 4 years ago
Hallo hallo,
Melody yaanyewe n'tamu saana kuliko asali.
Yatuliza yangu roho vilivyo.
Akili yangu nayo haisemi kitu kwa utulivu uliyoko.Waja waungulika huku mie nazidi kubarikiwa
besaffy 4 years ago
nimekupata!!!!!
trudysixth 4 years ago
kweli bwana "mungu akitaka kupa hakuletei brua utapata tu" nimekubaliana na wewe all the way..!!!
latifa66 4 years ago
Jameni muziki wanafanya nitulie tuli! Hata mi pia nataka kuirusha roho yangu, lakini huku viziwa vya japan kuna papa na nyangumi, wataimeza roho yangu.....Aah, asante kwa kwa kunikumbusha raha za mombasa Casuarina....
larryboy1995 4 years ago
Aluuuuuu!!!utameza? utatema!!!!
rk097 4 years ago
hey, asha othman, onaringa saana na onaharibu nyimbo za wenzako. watu wengine wanacheza lakini hawaringi kama wewe. na iyo gauni ya purple iko shambolic
shaki3bunny 4 years ago
ah karibu nyimbo gani jamani?
likedatshorty 4 years ago
funzo tosha kwa wenye wivu
achiambo 4 years ago
nice music and melody, but don't understand at all.
erictjie 4 years ago
book 4 swahili lessons n u wll enjoy taarab even more.Lawi uk
aldee93 3 years ago
Yangu yakinyookea wenzangu wivu mwaona
Mesahau ya kua mtoaji subuhana
na kafara metoooa kuzamisha langu jina
mola akuwabanjia hilo litashindikana
nazidi kubarikiwa kama mnavyo nionaa
Mungu akitaka kupa akuletei baruuuua
Haloooo Melody motooo.
likedatshorty 4 years ago
Waaaaaaaaauuuuuuuuu wanalo bibiii limewaganda
watoe sana hawakupati.
Kweli mungu akitaka kupa hakuletei barua so take care
Very niceeee soooong.
Naomba uweke na za Adija Kopa Kama vile Mwanamke mambo i like it that song.
atekee222 4 years ago
waungulikani?
tanzanianboy 4 years ago
Comment removed
malifa86 4 years ago
My Nairobi Sheng doesn't add up. I can simply sleep on this coast sweet sounds,its so seeeeeewt!
wbabu 4 years ago
big up East African Melody Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
tanzanianboy 4 years ago
mmmmh i love this song i remember when i was in mombasa last year mi n friends at pirate beach kiriama taabu kwa mbali na gomba si mwajua tena mambo ya pwani
mamuu002 4 years ago
The backstage are dressed better than the singer!!! though she has a nice voice.
sdimaka 4 years ago
damn siku zimepita pe!
smukase 4 years ago
Uko wapi sasa?..Morocco?
Bajuuni 4 years ago
I am in UK
Bajuuni 4 years ago
kama munayo mziki nyingine tafadhali tuone pleas more song's
said2001 5 years ago
I have alor of Tarab rapes but not videos maybe i should make videos?
Bajuuni 4 years ago
Are you bajuun?
said2001 4 years ago
yep
Bajuuni 4 years ago
ni bibie aisha anatanua kinyake, asante sana kwa taaraab
zenji2000 5 years ago
ramso thnks i been looking for taarabu im in uk
maimunamuna 5 years ago