Taarabu
4:02
Added: 4 years ago
From: sabarwawa
Views: 107,614
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (106)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • naku mbuka nyumbani ila niko mbali na nyumbani

  • ..tamu sana!

    

  • she looks more like indian...:)

    :/ ill remember back 2 (Kenya <3 ) wen i was young wen ever i listen 2 dis.. :/

  • I can feel the breeze and light of Unguja touching my heart

  • Comment removed

  • Unaionaje? Inapendeza sana, sivyo?

    Niende wapi kuona video za muziki za vikundi

    vya hapa?

  • Comment removed

  • Comment removed

  • Wimbo huu unavutia kweli... Najifunza Kiswahili Sanifu sasa...

  • OK I found the full version, more or less here on Youtube and its called subira...../watch?v=7IPA34wPFo­M

  • Wimbo huu unaitwaje? please post the full song not just half of it. Thanks for sharing with us :)

  • haswa kupata majaaliwa kukosa ni kilimwengu!  hayo maneno

  • Ooh my god i like this song can somebody tell me the name of this song.thanks

  • halo halo, kwahuo wako usemi hutonipandisha mori, najuwa senti kumi zimekupa ujasiri,mie mwenzio najuwa kupata majaliwa na kukosa ndio kiulimwengu.

  • it is a very toirab , i like this and i say that this song is very beautiful singing with a beautiful lady.... continue like that beacause i can sleep slowly when your sing this song....

  • Una maradhi ya mm, mekuzidisha kiburi,ukarefusha ulimi nakujiona hodari,kwa huo wako usemi hutanipandisha mori, nina akili timami sigeuki mm sori, najua we senti kumi zimekupa ujasiri,ringa ww limbukeni pato kwako ww geni, mie mwenzio najua kupata majaaliwa kukosa ndo kiulimwengu.Kwangu yote mm sawa sawa sawa.

  • MASHALLAH MY BEAUTIFUL ANTYY X

  • @sexxyfaa I agree with you totally, hehe

  • this is really nice.. i love the beat.

  • sawa sawa sawa sawa :)

  • Kwa nini ukakata wimbo huu wakati umefikia kilele? Naomba ujaribu kutupatia wote kaka.

  • Are there any more songs like this, I wonna know ?

  • Wapi the rest of this wibo wa taarabu? How can you end this song at the climax? Please provide with the est of the song

  • Does this song have part 1 & 2

  • She is a Tanzanian,singing with Zanzibar stars if am not wrong.

  • PLZ MTU ANIAMBIE NTAPA WAPI WIMBO WA SABAHA (wacha wee)

  • Sabah Salum Tanzania...

  • mkuki2000,u should have posted the origin country to enlighten you tube users if you really know any better than trying to sound like u know.

  • Correction:It's Mombasa,Kenya for those who can really listen.

  • You'r just pathetic, accept the fact!!

    or we can pretend she is from kenya

    if that will make you happy, but it is a false

    information to the user of YouTube!!

  • It's Mombasa,Kenya for those really listen.

  • is there any one who could translate to me this wonderfull song and god bless him

  • ..'.ukarefusha ulimi, nakujiona hodari'...

  • mimi kwangu mambo sawa sawa

  • Name:Sabah Salum

    Group:East African Melody

    Country:Tanzania

  • Country is Kenya

  • hehehe! do you mean, you wish she was from kenya?

  • I'm proud of u ol taarab members, Swabah Salum mashaallah!!!!!!!!!!!!

  • sina marathi lakkini bwana we mombasa ya ambasa

  • sauti tamu kweli sana! nampenda sana huyu, ananaitwaje?

  • Name:Sabah Salum

    Group:East African Melody

    Country:Tanzania

  • nice song and beautiful lady nice voice

  • kenya..power!!!!!!!!!!!!!!!!!!­!!!!!!!

  • nyibo nyizur swafi. nsi penda twarab inu.

    asanta & kwaheri sabarwawa

  • Poa sana ....

  • What's the name of this song and who sings it. Also where can i buy it

  • uuuiii! something better than breakdance. Taarabu videos keep coming.

  • i love taarab music kiboko yao au sio

  • taarabu kiboko yao au sio

  • mimi mwenzio najua kupata wajaaliwa kukosa ndio kiulimwengu

  • Najua centi kumi zimekupa ujasiri, Okinyi hallo?

  • Licha ya kamba na pingu, hata kwa minyororo hakai. Mzuie kwa kumpa nyama ya ulimi. Wasikia bwana? Usipompa nyama tamu ya ulimi mwenzangu utalia "kilio cha mbwa midomo juu"!

  • Mbona ndugu yangu kuiga maneno yangu? Umenakili vivyo hivyo nilivyosema kwenye nyimbo ya Issa Matona. Lakini sawa! Maana ujumbe umefika

  • ...aidha anakusifia au anakusanifu! moja kati ya hayo mawili...chagua!

  • Si neno kwani ladha ya maneno yenyewe inatosha kuthibitisha utamu wa Kiswahili.

    Raha ilioje mtu kwa mtu kukienzi Kiswahili!

  • aluuuu mrs mwichatu.............!!!!!

  • Jamani huu ni mwezi wa Ramadhan maanake mwezi wa toba. Matusi si uungwana! Twahitaji subira!

  • ..ya kweli hayo buashraf, huu ni mwenzi wa Ramadhan-Karim tuwache masihara!...eebu sikiliza nyimbo ya Sabah Salum "Mlango wa mungu uwazi" anavyosema "sote wa kukadiriwa na mungu hatujitoshi kwa kitu" sisi ni bin'Adam tuu.

  • Swadakta! Sisi ni binadamu wala hakuna mtukufu miongoni mwa binadamu. Tuna tabia ya kughafilika tukakiuka mipaka tuliowekewa na Mwenyezi Mngu (S.T.)

  • shushuuy una kichaa? Mbona kiburi nadharau? Wakikuyu unauliza nini? Mombasa na Kiambu hata Nakuru ni kitu kimoja! Harambee! Unadai kuelewa Kiswahili zaidi ya wote, huo ni ujinga. Kama wewe ni MTZ, kimefaidi nini hicho Kiswahili chako? Mimi ni Mkenya kwanza, pili ni Mkikuyu. Na nchi yangu an kabila langu lastahili heshima!

  • Stupid kukuyu! don't write to me pls,i don't want to communicate with you! and if you must, write in english, becouse i don't understand your swahili.

  • Basi! bwana muheshimiwa yaishe! nafahamu sasa wee si mkukuyu...si dharau lakini tangu lini mombasa ikawa kisiwa? na hiyo "fikiria" nimekosea..kwani ukoo wangu mie umesambaa kutoka Dar,unguja,pemba hadi mombasa!

  • Kama huna habari jiji la Mombasa limo kisiwani. Jiji maanake tofauti na Wilaya ya Mombasa. Upande wa magharibi kisiwa cha Mombasa kinaunganishwa na bara na Mlango wa bahari wa Makupa (Makupa Causeway) Upande wa kaskazini kuna daraja la Nyali na upande wa kusini kuna kivukio cha Likoni (Likoni Ferry). Ninaposema Mombasa ni kisiwa ninajua nnasema nini. Kwa kuna Mombasa kisiwani na Mombasa bara!

  • duuuuuh mama hicho bonge cha kigongooo

    yani nakuaminia kwa nyimbo zako mimi siompenda taarab lakini hichi babkubwa

  • Vijana. Wacheni kugombana. Sisi wote waafrika. Kusema Wakenya wazungumuzi Kiswahili vizuri ni ushenzi. Kila nchi ina Kiswahili chake. Hata kwenye nchi moja yenyewe kunazo tofauti sivyo? Mimi Mganda lakini nilipokuwa mdogo niliishi Kenya. Nimeishi Canada tangu 1985 kwa hivyo nemisahau Kiswahili. All I can say is that I love Swahili and dont care much about the arguments about which is pure or better. Let's just enjoy the music.

  • Ndiyo, "mswamike", na pole sana "smukase". We are all brothers and sisters. Tusiwe na uadui. Hata Kiingereza kuna cha Marekani, Uingereza, Australia n.k. Kiswahili kuna cha Kongo, Kenya, Tanzania n.k. Avoid any artificial hostility.

  • Sidhani kama kuna Kiswahili cha Kenya, Tanzania. Vilivyoko ni viswahili hasa unapozungumzia Kenya bara na Tanzania bara. Tuseme lafdhi za Kiswahili. Mathalani Mchagga na Mzaramo lafdhi zao za Kiswahili tofauti. Mkikuyu na Mjaluo lafdhi zao tofauti. Katika eneo la mwambao wa Afrika ya Mashariki mna lahaja za Kiswahili.

  • Na kwa hali ilivyo sasa nchini Kenya na Tanzania wakati mwingine inakuwa vigumu kujua mtu anatokea wapi hasa ukizingatia vyombo vya habari vimezagaza viswahili vyote hivyo. Mathalan Mluhya nchini Kenya anatamka "l" kama Watanzania wengi.Baadhi ya wakikuyu nchini Kenya hawatafautishi herufi L na R. Nimewasikia wakazi wengi kutoka Kigoma na Musoma wakisema "anakujaga". Hayo sasa hivi utayapata Kenya. Kongo kuna hiyo lahaja iitwayo KINGWANA.

  • mbona uadui marafiki - sote wamashariki

  • its so great to hear taarab ,usic after being abroad several years,it reminds me of the swahili wedding I attended in mombasa,miss home.

  • big up East African Melody Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongor­o,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,A­rusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!

  • Yaps I think im also a relative LOL!

  • kazi nzuri hii si yanirudisha huko Afrika

  • nai penda wimbo ina tingisha moyo

  • napenda hii wimbo

  • Kila mtu auty yangu oh sijui rafiki yangu WHATEVER!! Ninachojua ni wa East African Melody na Muunguja kama mimi na anasauti nzuri

  • thats ma aunty sabah luv u aunty nadyaa glasgow

  • tamu sana

  • Tamu ni kinywaji au chakula tu, msiharibu Kiswahili

  • eh eh eh! just stop there rafiki. najua nimekisahau sana lakini bado kiko kwa roho jo. ebu get lost!

  • Kiko kwa roho ni Kiswahili cha Kikenya, Watanzania tunasema kiko rohoni. Mhaya mkubwa.

  • ah whatever man and btw, mimi si mkenya. niliishi huko tuu. mi natoka rwanda so i don't have to prove anything! man pliz stop bothering me, nimeelewa unajua kiswahili sana so just stop. wewe tuu niache ni enjoy music and stop being such a facist

  • "smukase" karibu Tanzania. Visit Tanzania and experience Tanzanian hospitality. You can speak any Swahili you know. Sorry for what happened. Tanzanians are very accommodating. I have friends from Congo, Burundi, Rwanda, Kenya, Uganda, Mozambique etc and they all speak different kinds of Swahili.

  • so is this like the same person? either way i don't care cuz na speak english better. and by the way i wasn't taking that seriously at all so it's ok, najua most tanzanians wako quiet sympathetic

  • Tamu ni kinywani au chakula lakini kuna matumizi ya lugha kitamathali. Mbona twasema penzi tamu? Kwani penzi chakula?

  • Tamu ni kinywaji au chakula lakini kuna matumizi ya lugha kitamathali. Mbona twasema penzi tamu? Kwani penzi chakula? La Hasha! Wala si Kiswahili pekee kilicho na sifa hii. Na hasa tamu yenyewe ni nini?

  • Wee buashraf! ebu wacha maneno mengi, una'andika ovyo-ovyo hata unaloli'andika halieleweki-wakikuyu,wachaga na wajaluo wote hao wana lugha zao na desturi zao-- Waswahili haswa wapo sehemu za pwani na wana desturi moja: D'salaam, Mombasa, Zanzibar, Lamu, Pemba na Bajuni...

  • Nakuomba kwanza usome niliyoyaandika badala ya kunilaumu. Najua fika kwamba waswahili wamo katika mwambao wa Afrika Mashariki tangu Kisimayu nchini Somalia. Najua pia kuna Unguja, Pemba na Comoro. Ninachozungumzia ni hayo madai ya Kiswahili cha Tanzania na cha Kenya. Ndicho Kiswahili kipi hicho?

  • Hivi mtu kusema LAMAZANI, AFAZALI na LAZI ndicho Kiswahili cha Tanzania? Mkenya kutoka bara anaposema "NIKO KWA NYUMBA" hicho ndicho Kiswahili cha Kenya? Kwangu mimi mtu anaposema hivyo ni sawa na anayenitukana. Watu wa Mombasa unawaweka kiwango gani unaposema hivyo? Waswahili halisi twawajua!

  • Tena kwa hisani yako nakuomba utathmini lugha yako.Sikuzoea karaha! Kunaambia naandika ovyo ovyo ni dharau. Sikuandika chochote cha kumdharau mtu bali kuelimishana. Na huo ndio udugu; chembelecho wenyewe "Udugu ni kufaana wala si kufanana". Unachokijua zaidi unifaidi na mimi. Na kama hujui hakuna mahali nchini Kenya panapoitwa Bajuni.

  • Tena kwa hisani yako nakuomba utathmini lugha yako.Sikuzoea karaha! Kunaambia naandika ovyo ovyo ni dharau. Sikuandika chochote cha kumdharau mtu bali kuelimishana. Na huo ndio udugu; chembelecho wenyewe "Udugu ni kufaana wala si kufanana". Unachokijua zaidi unifaidi na mimi. Na kiasi cha kukufahamisha nchini Kenya hakuna mahali panapoitwa Bajuni.

  • Sawa! toa hiyo Bajuni nimekosea nilifikili kisiwa huko mombasa...na mbona una'andika maneno mengi? na hicho kiswahili chako cha kukuyu mie sielewi vizuri...

  • Nawe mwenzangu unatoka wapi? Mbona kuniandikia "nafikili"? Tayari "r" inakucheza. Mombasa ni kisiwa. Vipi kuwe na kisiwa kiitwacho Bajuni kisiwani Mombasa? Aliyekwambia mimi ni "KUKUYU" ni nani? Dharau si uungwana. Kiswahili cha "kukuyu" umekiona wapi kwenye yote niliyoandika?

  • Basi! bwana muheshimiwa yaishe! nafahamu sasa wee si mkukuyu...si dharau lakini tangu lini mombasa ikawa kisiwa? na hiyo "fikiria" nimekosea..kwani ukoo wangu mie umesambaa kutoka Dar,unguja,pemba hadi mombasa!

  • Kama huna habari jiji la Mombasa limo kisiwani. Jiji maanake tofauti na Wilaya ya Mombasa. Upande wa magharibi kisiwa cha Mombasa kinaunganishwa na bara na Mlango wa bahari wa Makupa (Makupa Causeway) Upande wa kaskazini kuna daraja la Nyali na upande wa kusini kuna kivukio cha Likoni (Likoni Ferry). Ninaposema Mombasa ni kisiwa ninajua nasema nini.

  • ..na hao wanaosema (lamazani,afali na lazi) ni watu wa kutoka TZ bara kwani R inawashinda kuitamka.

  • Very interesting!

    Lungs

  • anyone know this song ......'wazoazoa,washindana na kikapu'?????????

  • hahah...no way i ddnt know pple uploaded tarabu songs to..santa..hebu basi put in that one zilipwenda wee..mwaisho dat song heheh...xxx

  • Sabah of "East African Melody" a Tanzanian Taarab Group.

  • anybody knu the artist and the song's name?

  • Her full name is Swabah Salum. Too cool a voice!

  • thanks

  • Comment removed

  • thanks Ramso, i beliv you are well informed about taarab

  • shes everdody's Aunt and freind now LOL!

  • @ramso007 Right! Is she single? hehe

  • Thanks a lot,I love this song tooo

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more