@ckathomi I lived in Meru (Nkubu and mitunguu) when I was 6 till 9 and I could speak it fluently at that time even the Meru people were shocked. Now all I can remember is a few words like gutu, nyooro, nderirwe, mbetage, kanyooni (a little kind of bird), nkandamia, etc. And my best friends at that time were Bundi, Muthomi, koome, gatobu, Kiendi, Ciru, Wangari, etc, lol. Those were the best years of my life. Which part of Meru are u from? I knew ur name sounded Meru
@buashraf Kiswahili sanifu ni kile ambacho kinasomeshwa madarasani Afrika mashariki. ukienda matembezi nairobi au mombasa utaona kuwa watu hawaongei kiswahili cha kisawa sawa. Hata bongo ukifika utaona vijana wanaongea kiswahili ambacho sio sanifu. Kwa ufupi watu au vijana wanaibadilisha lugha ya kiswahili na wengi sikuhizi ndio lugha wanayotumia...Nataraji kuwa nimekuelimisha kidogo kaka Buashraf. Asante.
@buashraf Kwanza, sijamshauru aende Bongo, La pili, nilimshauri kwamba TZ kiswahili kina afadhali kuliko Nairobi na Mombasa. Au una pingamizi fulani na fikira zangu? tufafanulie zaidi tafadhali, tupate kuelewa unachotaka kusema. Asante.
@mmaghfai Ukisema Nairobi sipingi katu unachokizungumzia. Lakini hilo la Mombasa sikubaliani nawe. Ukisema Unguja, Pemba na Tanga au niseme eneo lote la mrima au Upwa wa bahari Hindi nchini Tz nitakubali. Lakini Tanzania bara kila kabila husema Kiswahili kwa lafdhi zao. Mathalan "Kiswahili Sanifu" mtu husema "AFADHALI", baadhi ya watu TZ husema "afazali". Hilo hulipati Mombasa seuze Lamu. Watu wengine TZ husema "nasikiaga", "naendaga" kama vile ambavyo Kenya pia watu husema "nasikianga".
Ukweli mtupu msumeno hata kama unakutu usiutie lawama. Waweza kupasua mbele na nyuma mradi una meno. Matona wewe ni dume. Heshima zote na upewe, na mola akubariki zaidi utupatie zingine tamu hivi.Mafumbo makali sana.
Hapa nimeichezea lugha kwa kutenganisha neno msumeno na kupata maneno mawili. Msu ambao ni upanga huo upanga hauna meno. Aidha hapa nimeitumia lugha kitamathali. Ninalenga jambo ambalo ni muhali kutendeka lakini nimenuia maana ya ndani ambayo siwezi kuieleza moja kwa moja kwenye ukurasa huu wa jumla jamala.
REST IN PEACE
WE LOVE U!!!!!
maryammja 2 months ago
Kiswahili saafi asli ni kiswahili cha watu wa PANGANI,KIGOMBE,MWARONGO,na TANGA.. Mombasa husema Ndoo, maana yake ati Njoo.
MrIbrahimaa 1 year ago
Comment removed
mmaghfai 1 year ago
I live love love love taarab best music ever and country coz a simple country gal
ckathomi 1 year ago
@Mmaghfai what happened do you still speak kimeru?
ckathomi 1 year ago
@ckathomi I lived in Meru (Nkubu and mitunguu) when I was 6 till 9 and I could speak it fluently at that time even the Meru people were shocked. Now all I can remember is a few words like gutu, nyooro, nderirwe, mbetage, kanyooni (a little kind of bird), nkandamia, etc. And my best friends at that time were Bundi, Muthomi, koome, gatobu, Kiendi, Ciru, Wangari, etc, lol. Those were the best years of my life. Which part of Meru are u from? I knew ur name sounded Meru
mmaghfai 1 year ago
I love it remind me when i was in kampala
coushama 2 years ago
I wanna live in Mombasa learn kiswahili sanifu en tarab love it love love coast province!
ckathomi 2 years ago
@ckathomi mombada hakuna kiswahili sanifu, ukitaka kujua kiswahili cha haswa afadhali uende TZ
mmaghfai 1 year ago
@mmaghfai Nani kasema hayo? Kiswahili cha haswa ndicho gani hicho? Kiswahili sanifu ni kipi? Naomba unifahamishe!
buashraf 1 year ago
@buashraf Kiswahili sanifu ni kile ambacho kinasomeshwa madarasani Afrika mashariki. ukienda matembezi nairobi au mombasa utaona kuwa watu hawaongei kiswahili cha kisawa sawa. Hata bongo ukifika utaona vijana wanaongea kiswahili ambacho sio sanifu. Kwa ufupi watu au vijana wanaibadilisha lugha ya kiswahili na wengi sikuhizi ndio lugha wanayotumia...Nataraji kuwa nimekuelimisha kidogo kaka Buashraf. Asante.
mmaghfai 1 year ago
@mmaghfai Chambilecho wewe Bongo pia vijana wanaongea Kiswahili ambacho si sanifu, sasa unamshauri mwenzio afike Bongo akafunzwe Kiswahili gani?
buashraf 1 year ago
@buashraf Kwanza, sijamshauru aende Bongo, La pili, nilimshauri kwamba TZ kiswahili kina afadhali kuliko Nairobi na Mombasa. Au una pingamizi fulani na fikira zangu? tufafanulie zaidi tafadhali, tupate kuelewa unachotaka kusema. Asante.
mmaghfai 1 year ago
@mmaghfai Ukisema Nairobi sipingi katu unachokizungumzia. Lakini hilo la Mombasa sikubaliani nawe. Ukisema Unguja, Pemba na Tanga au niseme eneo lote la mrima au Upwa wa bahari Hindi nchini Tz nitakubali. Lakini Tanzania bara kila kabila husema Kiswahili kwa lafdhi zao. Mathalan "Kiswahili Sanifu" mtu husema "AFADHALI", baadhi ya watu TZ husema "afazali". Hilo hulipati Mombasa seuze Lamu. Watu wengine TZ husema "nasikiaga", "naendaga" kama vile ambavyo Kenya pia watu husema "nasikianga".
buashraf 1 year ago
Comment removed
mmaghfai 1 year ago
@ckathomi Are you a Meru? I used to speak Kimeru when I was really young.....
mmaghfai 1 year ago
beautifull alegory that is how we pass information from sage to students without anyone knowing.
4321krispy 2 years ago
Mbele tosha bwana, nyuma ya nini?
jakadenge 2 years ago
@jakadenge i so agree with you!! hahahaha
nawal01 2 years ago
Ukweli mtupu msumeno hata kama unakutu usiutie lawama. Waweza kupasua mbele na nyuma mradi una meno. Matona wewe ni dume. Heshima zote na upewe, na mola akubariki zaidi utupatie zingine tamu hivi.Mafumbo makali sana.
mwananchi1965 2 years ago
Msumeno na ukatee kwa utaratibu.Haraka yanini. Matona nakupa tano.Wewe ndiye kiboko yao.
mwananchi1965 2 years ago
this is alsome
MZIGULA 3 years ago
...bora msumeno wangu wa mnyororo!! unakata kotekote, mbele, nyuma, juu na chini tena haraka sana!!
mkuki2000 3 years ago
Huo msumeno wako wa mnyororo umewekwa wapi?
omukolongolo 3 years ago
mtu anitumie shamba wanalilima wenzio´tafathali
redsan305 3 years ago
Hizi nyimbo zinazo maana ya ndani sana sifahamu sana lakini nafikiri msumeno ni mkia wa mwanamume nyimbo chafu sana hizi
ckathomi 4 years ago
Msumeno uso meno, ni msu si msumeno!
buashraf 4 years ago
...mbona hapa sikuelewi vizuri..Msu tuu? kwani kuna Msumari pia!
mkuki2000 3 years ago
Hapa nimeichezea lugha kwa kutenganisha neno msumeno na kupata maneno mawili. Msu ambao ni upanga huo upanga hauna meno. Aidha hapa nimeitumia lugha kitamathali. Ninalenga jambo ambalo ni muhali kutendeka lakini nimenuia maana ya ndani ambayo siwezi kuieleza moja kwa moja kwenye ukurasa huu wa jumla jamala.
buashraf 3 years ago
@buashraf please somoen write lyrics in Kiswahili, I love this song
mavinga 1 year ago
kweli msumeno huo jamani
kishom73 4 years ago
this is the best. thanks bakogo for this song.
if you have any other taraabu song please post and remind me thanks again.
xuufu 4 years ago
Big Up Matona
WaLushoto 4 years ago