Asante sana Pastor Munishi.Ninaposikia huu wimbo,nakumbuka nikiwa mdogo sana arusha miaka ya 1989 , hii ilikuwa album yako iliyokuwa na huu wimbo ilikuwa moja zawadi kubwa sana ambayo mama yangu alinipatia wakati wa noeli baada ya kuona naupenda huu ujumbe,na niliipenda sana.Ujumbe ulikuwa mzito sana..Mungu azidi kukubariki endelea kuhubiri
Mungu akubariki sana Munishi. Wengine wanadharau Biblia, Mungu atusamehe. Imagine baba anaimba na wanawe anawaambia tutamlaki Bwana Yesu atakapokuja, na kwa pamoja wote mnacheza- wote sasa ni watoto mbele ya Mungu. What a blessing. Mungu azidishe wachungaji wengi kama wewe. Nikiwa na familia kama yako sihitaji tena chochote duniani.
Munishi and your family you are just a blessing. Glory be to GOD.
Yaani kwanza Mojashi, utadhani dadake mama. Amekomaa sio mchezo. Nayo chombo cha Munishi nashangaa kama ni ile ile ama amenunua nyingine. Hizi nyimbo ameongeza yani nashukuru maana ni za kale yani yanajaza roho siwezi kueleza. Asante mchungaji, ubarikiwe!
A very good video,i have been waiting for this music and now i must share it with my friends. i was introduced to Munushi music by hearing this music in the Nairobi streets.Very good music
I agree with you. He took Nairobi by storm and his "cassettes" sold by both Music stores and the Hawkers were selling like hot cakes. People would play his songs in "Keshas".
Si kitambo sana, parapanda ya mwisho italia. Wafu watafufuliwa nasi tulio hai tutanyakuliwa kumlaki Bwana Yesu mawinguni. Je uko tayari? Siku tusiyodhani anakuja na mawingu. Lazima kuwa tayari kila iitwapo leo. BARIKIWA

neno.Remain bless.Edwin ,Tampere Ciy,Finland
edondaki 1 month ago
Comment removed
GraceMOmary 1 year ago
Avery uplifting and moving song.Godbless
karosamuel 1 year ago
Mungu akubariki sana Munishi. Wengine wanadharau Biblia, Mungu atusamehe. Imagine baba anaimba na wanawe anawaambia tutamlaki Bwana Yesu atakapokuja, na kwa pamoja wote mnacheza- wote sasa ni watoto mbele ya Mungu. What a blessing. Mungu azidishe wachungaji wengi kama wewe. Nikiwa na familia kama yako sihitaji tena chochote duniani.
Munishi and your family you are just a blessing. Glory be to GOD.
dhmmako 2 years ago
watoto wako wamekuwa wakubwa Mungu awabariki
nabonwe 3 years ago
Yaani kwanza Mojashi, utadhani dadake mama. Amekomaa sio mchezo. Nayo chombo cha Munishi nashangaa kama ni ile ile ama amenunua nyingine. Hizi nyimbo ameongeza yani nashukuru maana ni za kale yani yanajaza roho siwezi kueleza. Asante mchungaji, ubarikiwe!
ochienol 3 years ago
A very good video,i have been waiting for this music and now i must share it with my friends. i was introduced to Munushi music by hearing this music in the Nairobi streets.Very good music
bensongutu 3 years ago
I agree with you. He took Nairobi by storm and his "cassettes" sold by both Music stores and the Hawkers were selling like hot cakes. People would play his songs in "Keshas".
Parisflower76 2 years ago
Si kitambo sana, parapanda ya mwisho italia. Wafu watafufuliwa nasi tulio hai tutanyakuliwa kumlaki Bwana Yesu mawinguni. Je uko tayari? Siku tusiyodhani anakuja na mawingu. Lazima kuwa tayari kila iitwapo leo. BARIKIWA
gospelgtv 3 years ago