Added: 6 months ago
From: gospelgtv
Views: 4,955
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (3)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Jesus is everything in everything if you have him you have everything. thanks Munishi

  • Kila ninapo sikia mwimbo huu na maneno yalio ndani najisikia kubarikiwa na raha katika moyo wangu. Mungu akubariki zaidi pastor Munishi. Tobias Norway

  • Ya ulimwengu ni sawa kujilisha upepo. Acha kuyasumbukia Tafuta Yesu upate vyote. Itakufaidi nini kuupata ulimwengu wote na uipoteze roho yako milele?

    Duniani sisi ni kama maua. Huchanua kisha hunyauka. Lakini ukinyauka duniani siyo mwisho wako. Maisha ya Milele yakungoja. Na Yesu milele Mbinguni, Bila Yesu milele Jehanamu. Chagua Vizuri. Mkubali Yesu upate ya hapa duniani na baadaye uzima wa milele. Amen

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more