aaahhhh, jamani, hii nyimbo ni mzee saaana, lakini mimi bado napenda kuisikia...niko sahi miaka 32 na ninaishi ujerumani....lakini mombasa sita hisahau
Hi! MrNass. Me nimetokea Moshi Kilimanjaro. Nimesoma Forest Hill Morogoro, nimefanya kazi Zanzibar but Tanga sijawahikufika. I think ni pazuri. Wewe umemaliza shule mwaka gani? Meye nimemaliza form four 2004.
Doo watu wa Mwambasa yenu kali,mnazi wenu hupandwa na wakwezi watatu,sie wa Tanga mnazi wetu hupandwa na mkwezi mmoja.
MrIbrahimaa 6 months ago
Huu wimbo na mgoma wake Original ni wa Pangani Tanga, uliimbwa na kikundi kiitwacho, JUHUDI mwaka 1965 malindi,Pangani. Safari band ime kopi.,
MrIbrahimaa 6 months ago
beautiful women and nice tune ... wooooooooow mmmmmmmmmmm i like it
y5a5x5 9 months ago
Most sensual women on the planet are in Africa . You help but try to have a baby with these women ... seriously
pro818 1 year ago
Comment removed
matonnie 1 year ago
ya kitambo!!! reminds me of harusi home.......last time i've heard & dance on it 17 years ago.......and didn't understand the meaning!!! lol
leo mzee njo nafahamu!!
matonnie 1 year ago
Comment removed
matonnie 1 year ago
this tune reminds me the good old days in mogadisho.
sanweyne100 1 year ago
@sanweyne100 sxb beentaa maaha dagaal qaxi siyad bare markii lagasoo noqday xasuus time waaye heesta aniga xitaa ohhh meeqa raadin jiray ......
y5a5x5 9 months ago
Huku ni pwani. Hivyo vibwebwe ni vya Mombasa.
wamwaneriri 1 year ago
@wamwaneriri
wamwaneriri 1 year ago
woooooooooow i like that woman so beuti..
mahad6000 2 years ago
This is is in Kenya...swahili weddings they normally perform like this, is not comoros
scania28xy 2 years ago
viva comoros zanzibaari
binbon3 2 years ago
these ladies are not from Kenya are from Comoros Island but the song is Kenyan a very old one which is normally played in weddings.. fab song...
hamra311 2 years ago
kiboko yake ?mama leo mtoto wangu?hutoshi wewe ?gari yangu yaenda mbio?dariver uko wapi?///?//?????best song evr still kiboko ya hote,
fuamaji 2 years ago
aaahhhh, jamani, hii nyimbo ni mzee saaana, lakini mimi bado napenda kuisikia...niko sahi miaka 32 na ninaishi ujerumani....lakini mombasa sita hisahau
kfs1976 2 years ago
Hata me naijua ni nzee sana lakin naipenda sana kuisikia inanikumbusha sana nilipokuwa shuleni Tz. Nami naishi Gulf in Oman.
MrNass2000 2 years ago
Heeee! Safi sana hiyo nyimbo. Ulisoma Tz shule gani? Me ni kwetu kule. Sasa naishi France. Anani kwako MrNass.
shushuu1 2 years ago
Ndugu shushuu1 we wapi? Mie mkoani Tanga..au zaid nitumie e-mail yako..
MrNass2000 2 years ago
Hi! MrNass. Me nimetokea Moshi Kilimanjaro. Nimesoma Forest Hill Morogoro, nimefanya kazi Zanzibar but Tanga sijawahikufika. I think ni pazuri. Wewe umemaliza shule mwaka gani? Meye nimemaliza form four 2004.
shushuu1 2 years ago
Hivyo viuno tuu vyanimaliza,Miss MOMBASA god bless.
JNM213 3 years ago
hini vedeo unairokota wapi vile? comoro
kibokoni 3 years ago
are those really kenyan ladies
trishasinger 3 years ago
yes! my country is diverse and full of surprises. love home!
Afrioxy 3 years ago
Ngoma safi.Ila ungetumia picha za Kenya.Tuna wanenguaji wa viuno Mombasa na miji mingine ya Waswahili hapa Kenya.Hawa nao wanatoka Comoro!
AJUOGAR 3 years ago
Beatiful voice
kairitukega 3 years ago