Hi Bro. Kahanga Dekula 'Vumbi", this is one of the best hit Maquiz performed ever; If I am not out of memory, this is was Late Kaumba Kalemba composition; your solo guitar in his hit is unquestionable. Thanks for posting
Dekula, kama upo Stockholm basi huenda hii winter kama nikija huko ntajitahidi kupanga safari ili nije kwenye concert yenu hapo. Huu mziki na maneno yanaweza kumfanya Dr. Remmy Ongalla na Makassy warudi jukwaani kwao walipokuwa enzi za ujana ..... Keep it up, Hej do.
Duu, huu wimbo na kama Original na tofauti iliyopo ni waimbaji si wale wa mwanzo ila MUSIC QUALITY is too high, for me is very MSWANO. Nakumbuka kuwaona kwa mbali sana Dodoma miaka ya 80 mwanzoni wakati wa sherehe za CCM (Enzi za Kamambele ya Moni Mambo ...Shika break).Umenirudisha kwetu Sikinge ingawa ni miaka kibao sijafika maana ni huko nilikuwa nawasikia kwenye Kiredio chenye SW kiitwacho SIERRA, sijui kiliisha wapi :)
Dah!!Namkumbuka marehemu Baba!!!Dah!!Alikuwa anaipenda sana hii!!
wabogojo 1 year ago
vumbi dekula namba wani..
mufinza 1 year ago
ahsante
MrSinafungu 1 year ago
Hi Bro. Kahanga Dekula 'Vumbi", this is one of the best hit Maquiz performed ever; If I am not out of memory, this is was Late Kaumba Kalemba composition; your solo guitar in his hit is unquestionable. Thanks for posting
aakisondella 2 years ago
mmmmmmmmm sina kauli kwa muziki mzuri na maneno yalotuliya kimuziki asante sana kwa kutuliwaza my friend Dekula2
halima3821 2 years ago
tizedboy ahsante kwa ujumbe,nitatimiza ombi lako,God bless you
Dekula2 3 years ago
Hongera kwa hii re-make. Keep it up. Kama unazo zile original za Marquiz du Zaire tuma basi.
tizedboy 3 years ago
Mzee, ukija London tusitue tuje tukumbuke enzi za Dar...
makumbele 4 years ago
SIKONGE asante sana kwa komenti zako,karibu Stockholm upate ngoma laivu/Dekula
Dekula2 4 years ago
Dekula, kama upo Stockholm basi huenda hii winter kama nikija huko ntajitahidi kupanga safari ili nije kwenye concert yenu hapo. Huu mziki na maneno yanaweza kumfanya Dr. Remmy Ongalla na Makassy warudi jukwaani kwao walipokuwa enzi za ujana ..... Keep it up, Hej do.
SIKONGE 4 years ago
Duu, huu wimbo na kama Original na tofauti iliyopo ni waimbaji si wale wa mwanzo ila MUSIC QUALITY is too high, for me is very MSWANO. Nakumbuka kuwaona kwa mbali sana Dodoma miaka ya 80 mwanzoni wakati wa sherehe za CCM (Enzi za Kamambele ya Moni Mambo ...Shika break).Umenirudisha kwetu Sikinge ingawa ni miaka kibao sijafika maana ni huko nilikuwa nawasikia kwenye Kiredio chenye SW kiitwacho SIERRA, sijui kiliisha wapi :)
SIKONGE 4 years ago
Hi Theboner1000! I'm Congolese immigranted to Tz,thanks for your compliment...
Dekula2 4 years ago
Are you from Congo or Tz? please tell me.Ilove the song, smooth and relaxing.Bien
theboner1000 4 years ago
Thanks vero2800
Dekula2 4 years ago
hmmmm i love it....very smooth
go congo
vero2800 4 years ago
smooth..no noises..just like the days of African Jazz and African Fiesta..real Congo Rumba
by Rachid King/washington,DC (USA)
CongoRumba 4 years ago
Thanks Mzee Rachid King for your compliment... lets put the Train on railway
Dekula2 4 years ago