Added: 2 years ago
From: gospelgtv
Views: 8,969
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (4)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Katiba mpya ndiyo KENYAN DREAM. Italeta enzi mpya Kenya. Wezi wa kura waliosababisha wakenya wauane hawana nafasi katika Kenya mpya chini ya katiba mpya. Kiuchumi Kenya iko mbele ya mataifa mengi Afrika ya mashariki. Lazima kila Mkenya afaidi na kukua kwa uchumi siyo KKKK Peke yao. Mungu anawapenda wote. Hata mimi najitahidi kupata ugali kwa shida kama wakenya wengi. Uchumi uko kwa wachache. Je mwananchi anasikia nafuu ya maisha? Huo ndio ukiritimba tunataka uishe Kenya na popote Afrika.

  • Swali langu kwako ni Rahisi , unafanya nini Kenya ikiwa unalibandika the Kenyan Dream jina Ukabila?Wewe, mimi na kila mtu tunatambua wazi, kwamba kwenu Tanzania haungepata maafanikio ambayo umeyapata kwenye taifa letu ambalo kila mtu hadi Profesa wangu hapa ujerumani, analitaja Kenya kama the NEXT BIG THING in the third world .Profesa wangu wa masomo ya Kiuchumi ndio makamu wa Rais wa European Central Bank.Ulikuja kwetu kenya kama mkimbizi ya kiuchumi na sasa unatutusi.Mgeni kumpokea kumbe ...

  • Kenyan Dream ni ipi? UKABILA? Siasa za Kenya Munishi hajajichovya. Anakemea maovu kwenye jamii iwe Tanzania Kenya au America. Kama kufanya hivyo kuna watu watakaokosa kumheshimu Munishi, na iwe hivyo. Sioni Munishi akiomba msamaha kwa hilo. Inapaswa kuwa hivyo. Sasa wakenya wanapaswa kuikosea heshima Katiba mpya Kenya maana itafanya na imeanza kufanya kile Munishi anachokiamini. Yaani Kibaki hawezi kuteua watu akiwa Golf Club ikawa hivyo. Hiyo ndiyo inaitwa utawala Mwema kulingana na KATIBA

  • Munishi ulikuwa na Heshima za wakenya wote mpaka wakati ule ulipoanza kujichovya kwenye lingo za siasi.Kile ambacho ulisahau ni kwamba sisi wakenya ni wakarimu na tunawakaribisha wageni kwetu Kenya bila shida haswa ukiwa mwaamini mkubwa wa kenyan Dream lakini kile ambacho ulisahau ni kwamba sis wa kenya hatupendi wageni kuuingilia siasa zetu kwa sababu ni shida zeut wala si za wageni ....kwa sababu hii umepoteza heshima yetu kumbuka kwamba kupanda mchongoma si ngoma ngoma ni kuushuka mchongoma

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more