continue to sing for us like that because it is a very melody for the stress and when the life is very bad some time in this country ..... i want to leasten many others song like this...... thank's asanta sanaa...
love it never been to coast en i have to visit this time.Kiswahili very nice i only speak Nairobi sheng i gotta learn the real deal to understand this song coz i love taarab
Matona wewe kweli ni profesa wa maktaba ya historia na sociologia.Maneno uliyoyasema nimeyachungulia kinaganaga na darubini na nimeona yote ni ya kweli.
Maaaama ananikumbusha mbali sana !enzi hizooo kwenye maharusi lazima zipigwe!muimbaji ndo huyu bwana ,na mashahiri yake matamu!mungu amuweke pema peponi!
Mzee umepewa talanta ya kuimba. Zidi kutupa tamu bora zaidi Issa Matona. Sisi hapa USA twazidi kujivunia nyimbo zetu na utamaduni wetu wa Afrika Mashariki. Unamafumbo makali kweli kweli ndani ya nyimbo zako.
kathomi r u commercial(sex)I really pity u coz if u r only 20yrs na una uchu wa mbwa, then I dont c u ciing the yr 2020 its unfortunate.Tamba taratibu mwanangu we still need u!!!!!!!!!! Lawi (uk) aldee93
Nimekubali kwamba huyu mwimbaji aniamba na ujuzi nyingi. Nyimbo hili ni tamu sana. Na tena, wanaocheza wanacheza vizuri kweli. Wenzetu, ni muhimu kabisa tusitupe hizi nyimbo na mchezo za kienyeji.
Erokamano ahinya kuom lando pachi e wachni omera. Di awach ni, Ugwe oromo gi Imbo e weche ma odok kor ka Tumbe Kany Achiel Gi Kit Kware Gi Dayegi Machon. To bende, Dho Ot ma oyere ni wito Kido kod Tumbe kware gi dayegi machon to ero lalo mana mus ma oting'o jogi duto e piny ka.
Is the one in pink pregnant lo!!hawa wataarab wafundishwe jinsi ya kupungua uzito maybe when i visit il have a conference about belly weight loss to prevent certain complication eg cva and diabetis .Overall nice song
Licha ya kamba na pingu hata kwa minyororo hakai. Mzuie kwa kumpa nyama ya ulimi. Wasikia bwana? Usipompa nyama tamu ya ulimi mwenzangu utalia "kilio cha mbwa midomo juu"!
bwana buashraf dear,zooote hizo nishazijaribu....ulimi mtamu,tena kila kiungo nikimtilia,autakapo hewala...hajauliza ashaandaliwa............lakini du! naona hicho kilio cha mbwa midomo na miguu juu mwaka huu nitakijua....wuu!!wuu! jamani,kitendawili hadharani........
Licha ya kamba na pingu, hata kwa minyororo hakai. Mzuie kwa kumpa nyama ya ulimi. Wasikia bwana? Usipompa nyama tamu ya ulimi mwenzangu utalia "kilio cha mbwa midomo juu"!
Jamani mbona kwangu hamna sauti?,Issa Matona ninamuona hapa anaimba yeye na kundi lake,lakini sauti hamna,nimechokora kila sehemu vile vile siusikii wimbo,anaejuwa anisaidie.
haaaaaa. Jamani nilikua naitafuta audio au video ya hii nyimbo lakini finally i found it. Ahsante saaaaa yaaani u made my day. Kama Atekee alivyo sema tunakuuoomba saaaana ueke nyimbo zake zoote kama unaweza sana sana wimbo wa "KimasoMaso, Msumeno" . Yaaani ahsante sana. Kama una za Melody au TOT naomba ueke pia... Ahsante.
Hello Bakogo, Asante kwa kutuma wimbo huu mzee wa hakima Issa Matona Mungu aleza roho yake mahali pema peponi.Naomba utume na vibao vyake vingine kama Shamba , kimasomaso,
msumeno, kinyozi na vingine waaaaaauuuuuuuuu yaani
how can anybody hate such a song?siku hizi taarabu hamna zpo ngoma tu..lol
R.I.P ISSA MATONA
zindy41 1 month ago
bora ungekufa wewe ukatuwashia issa
abdul7037 5 months ago
Kind words can be short and easy to speak, but their echoes are truly endless.
The future is literally in our hands to mold as we like. But we cannot wait until tomorrow. Tomorrow is now.
NGURUNGA 8 months ago
MOLA AKULAZE MAHALA PEMA NA AKUSAMEHE ISSA HAKUNA ANAYE IMBA KAMA WEWE HAPA DUNIANI AMIN
maryammja 10 months ago
Wimbo huu wanikumbusha Kongowea 1980s, tukiishi na mzee Saidi na mke wake marehemu Shamimu, Mungu amueke mahali pema peponi.
wamwaneriri 1 year ago
Sasa yajalisha kama ni mSomali or not? He is good artist and that is all that counts.
jakadenge 1 year ago
this video is very good some time and for our culture in est africa
ok.... continue because its the verity .....
for us ....
kaiss44 1 year ago
jaman me nataka nione huo mtende unavochanua chanuuuuuu...hahahaha...lov thz song wallah...mzee lakin mashallah maneno matam...
MrMedy86 2 years ago
i love this song,
continue to sing for us like that because it is a very melody for the stress and when the life is very bad some time in this country ..... i want to leasten many others song like this...... thank's asanta sanaa...
kaiss44 2 years ago
love it never been to coast en i have to visit this time.Kiswahili very nice i only speak Nairobi sheng i gotta learn the real deal to understand this song coz i love taarab
ckathomi 2 years ago
love it
4321krispy 2 years ago
post more Issa Matone ngoma safi sana zatukumbusha ujana wetu.need more please.Marekani hatupati hivi vitu safi...
akinya2177 2 years ago
Ndugu Bakogo kama unazo nyingine za Issa Matona zirushe zinanikumbusha home Tanga miaka ya 80 nami niko mbali karibu na asubuhi uarabuni.
MrNass2000 2 years ago 3
Matona wewe kweli ni profesa wa maktaba ya historia na sociologia.Maneno uliyoyasema nimeyachungulia kinaganaga na darubini na nimeona yote ni ya kweli.
mwananchi1965 2 years ago
Matona wewe ni kiboko yao. Nimekupenda hadi nika kuinamishia. Heshima zote ninakupa wafurahisha roho yangu sana hapa marekani. Nikirudi Kenya nitakutafuta wewe lazima utakula $500.00 zangu zakulianisha koo yako. Seniorr citizen wachache wanaweza kutuburidisha kama wewe.
mwananchi1965 2 years ago
Maaaama ananikumbusha mbali sana !enzi hizooo kwenye maharusi lazima zipigwe!muimbaji ndo huyu bwana ,na mashahiri yake matamu!mungu amuweke pema peponi!
polinewc 3 years ago
eehh bwana...mie hapa wa mombasa napenda hiooo mishono....eehh bwana babu jinga mali yako inaliwa..tia akili maji yana jaaa telee...nice song
khuichui978 3 years ago
Mzee umepewa talanta ya kuimba. Zidi kutupa tamu bora zaidi Issa Matona. Sisi hapa USA twazidi kujivunia nyimbo zetu na utamaduni wetu wa Afrika Mashariki. Unamafumbo makali kweli kweli ndani ya nyimbo zako.
mumomutinda 3 years ago
Naam mambo ya babujinga hayo
senye1978 3 years ago
The guy is sexy is he married i would like us to meet thought am 20 yo i dont mind he is looking hot
ckathomi 4 years ago
he is dead already
trudysixth 4 years ago
No is not. Gen Eid.
Generalidibabu 3 years ago
kathomi r u commercial(sex)I really pity u coz if u r only 20yrs na una uchu wa mbwa, then I dont c u ciing the yr 2020 its unfortunate.Tamba taratibu mwanangu we still need u!!!!!!!!!! Lawi (uk) aldee93
aldee93 3 years ago
Nimekubali kwamba huyu mwimbaji aniamba na ujuzi nyingi. Nyimbo hili ni tamu sana. Na tena, wanaocheza wanacheza vizuri kweli. Wenzetu, ni muhimu kabisa tusitupe hizi nyimbo na mchezo za kienyeji.
adikiny 4 years ago
mano adier yawa ayiegodo.
jakadenge 3 years ago
Erokamano ahinya kuom lando pachi e wachni omera. Di awach ni, Ugwe oromo gi Imbo e weche ma odok kor ka Tumbe Kany Achiel Gi Kit Kware Gi Dayegi Machon. To bende, Dho Ot ma oyere ni wito Kido kod Tumbe kware gi dayegi machon to ero lalo mana mus ma oting'o jogi duto e piny ka.
adikiny 3 years ago
Is the one in pink pregnant lo!!hawa wataarab wafundishwe jinsi ya kupungua uzito maybe when i visit il have a conference about belly weight loss to prevent certain complication eg cva and diabetis .Overall nice song
ckathomi 4 years ago
For more Taarab Videos and Audio, check out eastafricantubeDOTcom. Hottest site for Taarab Videos and Audio.
lebronz 4 years ago
toba maulana we! heh nimekumbuka nyumbani jamani mie
trudysixth 4 years ago
This comment has received too many negative votes show
Gawd dem izz reaaaal ugly somali HOs maaaan.
gabulaman 4 years ago
U idiot he ain't somali. Keep ur stupidity to urself n ur people.
wamugo 4 years ago 8
You sure do not know what you are talking about. We shall excuse you, but enjoy taarab kaka
Wawaria 4 years ago
....si lawama mimi kufa juu yako hehehe kwani nzi kufa juu ya kidonda si haramu eti!!! upo?
kakaz357 4 years ago
hiii
KAREEM3333 4 years ago
haaaaaaaaaaaaaaaaluuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lakini kaiba mombasa root hio nyimbo
babuNL 4 years ago
waunguja Tupoooo!!! Nyimbo bomba
iptyhaj 4 years ago
Wa Unguja mpo?! Waaawaaa !!
kokwi 4 years ago
Hivi sasa Wa kesho Hamna!!! Sawa!!! NYomaba kabomoka, kama humpendi shika njia
Hujambo Bw buashraf? Tupo!
Wawaria 4 years ago
hahahaha nyumba imebomokaaaa bwaaaaaaaaa hahahaha
masakamisifa 4 years ago
nimzuie vipi jamani?kamba au pingu nisaidieni wajuzi.dunia mitihani
rk097 4 years ago
Licha ya kamba na pingu hata kwa minyororo hakai. Mzuie kwa kumpa nyama ya ulimi. Wasikia bwana? Usipompa nyama tamu ya ulimi mwenzangu utalia "kilio cha mbwa midomo juu"!
buashraf 4 years ago
bwana buashraf dear,zooote hizo nishazijaribu....ulimi mtamu,tena kila kiungo nikimtilia,autakapo hewala...hajauliza ashaandaliwa............lakini du! naona hicho kilio cha mbwa midomo na miguu juu mwaka huu nitakijua....wuu!!wuu! jamani,kitendawili hadharani........
rk097 4 years ago
Licha ya kamba na pingu, hata kwa minyororo hakai. Mzuie kwa kumpa nyama ya ulimi. Wasikia bwana? Usipompa nyama tamu ya ulimi mwenzangu utalia "kilio cha mbwa midomo juu"!
buashraf 4 years ago
Sauti imesharudi katika siku iliyofuata,ilikuwa jana yake ni tatizo la server.Asanteni,musiwache kutuma za issa matona kwa wingi.
Kidungaz 4 years ago
Jamani mbona kwangu hamna sauti?,Issa Matona ninamuona hapa anaimba yeye na kundi lake,lakini sauti hamna,nimechokora kila sehemu vile vile siusikii wimbo,anaejuwa anisaidie.
Kidungaz 4 years ago
haaaaaa. Jamani nilikua naitafuta audio au video ya hii nyimbo lakini finally i found it. Ahsante saaaaa yaaani u made my day. Kama Atekee alivyo sema tunakuuoomba saaaana ueke nyimbo zake zoote kama unaweza sana sana wimbo wa "KimasoMaso, Msumeno" . Yaaani ahsante sana. Kama una za Melody au TOT naomba ueke pia... Ahsante.
likedatshorty 4 years ago
Hello Bakogo, Asante kwa kutuma wimbo huu mzee wa hakima Issa Matona Mungu aleza roho yake mahali pema peponi.Naomba utume na vibao vyake vingine kama Shamba , kimasomaso,
msumeno, kinyozi na vingine waaaaaauuuuuuuuu yaani
nimeburudika sana.ubarikiwa
atekee222 4 years ago 2