Added: 4 years ago
From: likedatshorty
Views: 278,247
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (44)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • QUEEN OF TAARAB MUSIC

  • need to show more new video

  • Hi , where i can find this song as mp3 with better quality ?

  • wonderful song , Very smooth , original music ...

  • maneno hayo...cograts .mimi grace mombasa hapa

  • can someone tell me a bit about taarab and how it uses the swahili language to unify the swahili people? Any information on the links between taarab and swahili culture and nationalism would be great thanks!

  • She is beauitfull. I can only image how beautful she was back in days...MashaAllah

  • so cool this big mama i would love to kiss her ass

  • huna  kitu dada

  • Maneno matamu, sauti nzuri, mashairi yamelala na talanta hamna swali.

  • @wamwaneriri have you married?

  • @mr34baha yes.

  • @wamwaneriri oh i didn't realised that ur married but glad to heard it

  • its like comoros language

  • I would like to meet this Woman Musician, ist it possible. I am proposing a Music Project .

  • nanyi wamama mwacheza pekenu??

  • Gooooooooooooooooooooooooooood­!!!!!

  • @SKisule What kind of language is this? Help the brother out lol... Anybody?

  • swahili my man

  • the "kind" of language is swahili.. or in swahili we say kiswahili. But it's not a "kind" of language, it's a language.

  • nimependa kauli yako buashraf umemjibu kiistarabu bila matusi wala chuki. Huyo mwenzio ni mkorofi kwani jina hulioni Mkuki2000, ikiwa ka beba mikuki 2000 au kachomwa nayo kwani ni bure, kazidi mdomo. ha ha ha.

  • @Asranify umegonga ndipo. Jambo la kutukanana si uungwana hata kidogo!

  • @asranify we msenge kumamamamako

  • you dont need all this rude language man comon

  • @TheTarbaj he he he asante, ndio iliyo nileta duniani ukapata na wewe chance ya kunituka,

  • thanks for the post...beautifull song....

  • Buashraf na Mkuki hivi mmeisikiliza vizuri hii taarab? "HAUFAI UJEURI WEWE KIUMBE MWENZANGU, TUENDAKO NI SHUBIRI MWANANDANI LETU FUNGU"

    Hayo maneno yameshasema kila kitu hapo. unamtukana mtu na wala humjui, je inasaidia nini?

  • Ama kauli yako imegonga ndipo. Kama kuisikiliza hiyo taarabu nimeisikiliza na ninajua fika kwamba yote aliyosema bi Sabah ni kweli. Mimi huyu bwana simjui wala sikumsahihisha kwa nia mbaya. Lakini chambilecho wenyewe "Duniani kuna watu".

    Kwa hivyo mimi sina cha ziada ila kumwacha alivyo kwani yamkini siku moja atatanabahi na kutambua lugha yake hiyo haijengi. Mimi siinui ulimi wangu kumtukana. Atasubiri nilipize kisasi kwa kumtukana lakini atachoka.

  • ..tusi liko wapi? ebu sawazisha tena!

    uhanithi si jambo la kawaida huko Ujerumani unapoishi? nimesikia mnaruhusiwa kufunga ndoa hadi makanisani, ya kweli hayo? ebu dhihirisha ukweli!!

  • Kama hulioni tusi basi mimi ninaliona. Kunambia nikamtafute hanithi mwenzangu nini kama si matusi? Pengine unayo tafsiri mpya ya tusi. Ikiwa uhanithi ni jambo la kawaida Ujerumani kwani miye mjerumani? Ikiwa wameruhusiwa kufunga ndoa makanisani kwani miye ni mkristo au padre? Unataka ninidhihirishe ukweli gani? Unanijua vipi? Umenitukana na hilo ni dhahiri shahiri. Ninalotaka kukwambia matusi si uungwani. Hunijui, sikujui sioni kisa na maana kwako wewe kuniita hanithi.

  • Waswahili wamesema " Lililo moyoni, ulimi hujepa". Ikiwa unauelewa msemo huu basi utakuwa umejikosea mwenyewe kunitukana. Ninashangaa huoni kwamba ni vibaya kuniita hanithi! Kila mwenye zake razini katika utamaduni wetu wa Kiswahili atapigwa na butwaa akiipata kauli hiyo yako. Ajabu kuniuliza ...tusi liko wapi? Una hakika huoni ubaya wowote kwa kauli yako hiyo?

  • aaala! kwa desturi na utamaduni wa ujerumani jee! kweli sikutarajia "utapigwa na butwaa" kwa hilo niloandika, kwani si kauli...!! wasalimie wajukuu wa Hitler!

  • Hata kama kwa desturi na utamaduni wa Ujerumani, nimeshakwambia kuwa mimi si mjerumani. Tabia na hulka za wajerumani hazinihusu ndewe wala sikio. Mimi nina lililonileta huku uzunguni. Nimekuja kutarazaki wala sikuja kuchunguza maisha ya wajerumani. Wakiwa mahanithi wasiwe hayanihusu. Najali zaidi utamaduni wangu. Kwamba uko Uswidi hujawa mswidi wala si haja yako kuchunguza maisha yao. Kila mtu na hamsini zake. Matusi sikuzoea kwani nilivyolelewa mimi ninajua kutukana mtu ni utovu wa adabu.

  • Comment removed

  • Comment removed

  • Tajriba yangu na hawa jamaa imenifunza mengi. Ikiwa Ujerumani kubaya basi Marekani ndiko nilikopata vituko. Kwanza tutajilaumu sisi wenyewe Waafrika kwa jinsi tunavyowaabudu wazungu. Kusema la haki mimi nipo hapa Ujerumani dhamana na wasifu-kazi wangu Alhamdulillahi! Vinginevyo Mungu akinijaalia nifikapo umri wa kustaafu; nitajiondokea nchi ya wenyewe nirudi kwetu. Kwa jinsi tunavyowastahi hawa jamaa wanapokuja kwetu hutufanza siye mfano wa karatasi ya shashi inayoishia kazi yake msalani!

  • Comment removed

  • Comment removed

  • mkuki2000 ninasahihisha uliyoyaandika Atoaye ni Qahari kwa matamu na machungu, kwa matamu na machungu, usijipe ujabari kuvaa joho la Mungu, kuvaa joho la Mungu, haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu, tuendako ni shubiri mwana ndani letu fungu, joho la Mwenyezi Mungu mja likufae wapi..

  • Comment removed

  • Mkuki2000 yamekuwa matusi? Vipi unikosee heshima kiasi hicho? Mimi sijakutukana wala sina niya ya kukutukana. Matusi si uungwana.

  • Yangu macho!

  • what this song talking about and who is seed bea

  • Comment removed

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more