huyo mwenye amesema juu ya rushwa kama munyarwanda analeta maziwa yenye mtoto wake ametapika ,si bwana Ecasa wa baraka majengo?amesema ya kweli wnyarwanda wanafanya vile wa forge histoire ya fizi na ya congo wana occupé kwa hivi sasa positons kubwa mu institutions internationales zile za hali ya juu , wanaelewana vizuri na wanajuwa kudanganya sana na wazungu wanaitikaka sana kama unawadanganya ukimwambiliya ukweli anaku suspecter,kwa hiyo wachefs waepukane na rushwa wawe serieux navyeo vyaosinon
Kwa nini nasikiya kama watu wanatoka ubémbé kurudikambini juu waende ulaya ,ni huruma sana juu dossiers zote za wa kongolais ziko zinapewa wana inchi watanzania wako wanaenda fasi zote ma ulaya ,sasa hawo wandugu wabaki nyumbani wajenge inchi ,ulaya si paradis kama vile wanwazaka,maisha nikutumika,kama hutumike unarisquer kufiya ulaya,canada,usa juu hutapata ticket yakurudi juu,wabembe wenye walifikiya Quebéc-Sherbrooke niwavivu wanataka kuisha kubupesa bwenye gvmnt inalipa watoto nghéna manga
huku canada wabondo ubishi namatusi na kuonyesha mavazi na titres acdémiques zao njoo wanajuwa ,na waza wengi hawana hata wazo la kurudi et surtout hawa wenye kuja à partir 2000-2001 wengi hawtaki kutumika munajuwa asili ya nyumbani bwana chini ya muhembe bibi na luci ya mihogo anarudi pika ugli kula ,sasa canada kama hutumike unaweza hata kusahabu kurudi nyumbani juu hutapata nahuri(ticket ya ndege) ya kurudi ni huruma sana sijuwi kama watapatikana wabembé wakuwasilisha FiziItombwembeleyawazung
M,mbucwa Ésombola njoo naonaka âmoténdà bîtu byâhungubwa , lyètu itété limô'ôya ,
aambamakye 1 year ago
huyo mwenye amesema juu ya rushwa kama munyarwanda analeta maziwa yenye mtoto wake ametapika ,si bwana Ecasa wa baraka majengo?amesema ya kweli wnyarwanda wanafanya vile wa forge histoire ya fizi na ya congo wana occupé kwa hivi sasa positons kubwa mu institutions internationales zile za hali ya juu , wanaelewana vizuri na wanajuwa kudanganya sana na wazungu wanaitikaka sana kama unawadanganya ukimwambiliya ukweli anaku suspecter,kwa hiyo wachefs waepukane na rushwa wawe serieux navyeo vyaosinon
aambamakyemaaya 3 years ago
Kwa nini nasikiya kama watu wanatoka ubémbé kurudikambini juu waende ulaya ,ni huruma sana juu dossiers zote za wa kongolais ziko zinapewa wana inchi watanzania wako wanaenda fasi zote ma ulaya ,sasa hawo wandugu wabaki nyumbani wajenge inchi ,ulaya si paradis kama vile wanwazaka,maisha nikutumika,kama hutumike unarisquer kufiya ulaya,canada,usa juu hutapata ticket yakurudi juu,wabembe wenye walifikiya Quebéc-Sherbrooke niwavivu wanataka kuisha kubupesa bwenye gvmnt inalipa watoto nghéna manga
aambamakyemaaya 3 years ago
MAKE IT WORKS, COURAGE MES FRÈRES
aambamakye 3 years ago