First and foremost, this is a job well done. I've heard so many songs abt advice, bt trust me none like this. The words, the beats, the dance, the settings, the singers... Y'all make it one of a kind. And Kiswahili being my favuoriye language, I listen to it endlessly. Guys, u nailed it!! Thanx for being.
Temba I know u even if I am in USA,Few years ago we were in hard camp,today you doing so good.Love this song,Just say welcome to USA nami niliwatoka wale.Big up TMK I am a raggear fan but this wash my soul
sunshine-- Love this video and song..first heard and saw it in Kenya a few weeks ago... love it!! makes me laugh, smile and sing.. even though I only have a rough idea what they are singing about!can't stop playing it now back in UK !!
Ku-da-da-de-ki Nature ni mwanangu wakaribu sana namfagilia asubuhi mpaka jioni lakini Temba na team iliyobakia nyuma TMK-Family wanakuja na vitu vya akili na ujmbe mzito kwa sasa yaani huwezi kuwapimia ni fuuuull credit... Jayjay London.... Sorry Sir nature but Habari ndio hiyo...
Yoh wanaume....keep the ball bouncin !! fo sho..tel dem motha&*5ers trying to be americans in bongo...hatua moja mbele kumi nyuma !!! dedication to all matozi wa bongo....keepin' it so real wanaume !! feel ya brothas ! rastaaaaaaaah !! keep makin' more sensible beats like this !!

darrierosa 6 months ago
Beat ya Dunga ama vip! nyc one
BlastKenya 11 months ago
Australian here.
I like this. ahah :)
holysoks1 11 months ago
always on top ... kazi nzuri ....kingbida
ahcerm 1 year ago
Si mchezo Ujumbe wa nguvu unanipa midadi nizidi kukaza kwa sana hapa mitaa ya Norway.ommy pengo
ommy7778 1 year ago
bonge la songi
big ups
jake8336 1 year ago
ikicheki majikumu yananyanda maa oyaa jama monakwenda wakati mimi sifania kitu chamana
hahaaa big up
tmkkids 1 year ago
this is cool man long live tz
funufana 1 year ago
mzuri
JogaBonitofootball 1 year ago
ukitegemea sana wazazi utajutia watakapo kufa.......tru hiyo
stephenkaranja71 1 year ago
Kweli kabisa. good message to the youngs.......big up from Sweden
Claramueni 1 year ago
Great song:D Greetings 2 Sammy
XOXO
mshiny1987 1 year ago
Hizi ndo zile nyimbo zinazofanya reality ya maisha ikick in...waambie,waelewe...great song to play on the highway too!
MrAmbokile 1 year ago
ujumbe mzito tmk big up guys
Movie444channel 1 year ago
still making me smile.. We saw TMK in Mombasa in November last year... great live too. Guys spoke to us too-one love!!!
Go for it!!
savage3636 2 years ago
kitu kimeturia
solodj1 2 years ago
hio ngoma inabambisha mbaya!
newpuppytex 2 years ago
TMK mnacho imba nichakweli kabisa,kwani mda aumsubiri mtu.BIG UP MA MEN.
nauliwani 2 years ago
nikcheki majukumu yaniandama.......wakati mi siafanya kitu cha maana...
stephenkaranja71 2 years ago
TMK! ao ndo wanaume! maneno nakuingia upende uspende!
CHEGE U ROCK MY WORLD!!!!!!
anchoulu 2 years ago
Temba I know u even if I am in USA,Few years ago we were in hard camp,today you doing so good.Love this song,Just say welcome to USA nami niliwatoka wale.Big up TMK I am a raggear fan but this wash my soul
tanzaniamu 2 years ago
@tanzaniamu oya we kumamayo unamjua temba??? ni signiye shati yangu naomba
fuadali16 1 year ago
HICHI KISHINDO KIZITO,BIG UP TMK
machupa1 2 years ago
ooiihh jamaa munaa kwendaaa nice 1 how can u download on mp3 any1 knows....holla bck. TMK 4 Life.
dullysykes 2 years ago
i can dowload for u send u remail
hotsaucecoxis3 2 years ago
Comment removed
dullysykes 2 years ago
sunshine-- Love this video and song..first heard and saw it in Kenya a few weeks ago... love it!! makes me laugh, smile and sing.. even though I only have a rough idea what they are singing about!can't stop playing it now back in UK !!
savage3636 2 years ago
yap,muda waenda.I like this song a lot.wanaume family juu.juuu zaidi
nora1124 3 years ago
ninawapenda sana sana sana
judgedjudges 3 years ago
Fuck dem all..halisi kama kawa 4 life
Gadfaza 3 years ago
Comment removed
jgloyce 2 years ago
is it me ama the two lead singers luk alike...but hii tracki noma sana
daisyao 3 years ago
This has been flagged as spam show
hahahahaha wote wanafana!! na dreads zao lolzz!!! i luv dis group!!!
jgloyce 2 years ago
i knw..im always wonderin who is who?...but i love their songs
daisyao 2 years ago
ni soo
alainitalie 3 years ago
MAFANIKIO YA KESHO YANAHITAJI MAANDALIZI YA LEO..(Y-DASH)
TMK WANAUME FAMILY WAMEBAKIA IMARA...
Angali sasa babu kajitoa Wanaume halisi..
Temba aliambia mwaka washetani wakaleta majibu ya mipasho..ona sasa Gangwe wapi tena
Abiiii abiii
edondaki 3 years ago
Yeah tmk wanaume family big up sana,nawakubali sana,mko juu kuliko akina juma nature!safi sana kaza buti kama kawa,mchizi wenu-Marekani!!!
mbookubwa 3 years ago
Wanangu babu kubwa ni mimi jerry wa mbagala rangitatu, kwa sasa nipo korea, babu kubwa ilo songi
jerrpb 3 years ago
ukweli unabaki pale pale..TMK bado wamebakia imara..
kweli naona temba umri unaenda umekata ze rasta..lol
one love
edondaki 3 years ago
Ku-da-da-de-ki Nature ni mwanangu wakaribu sana namfagilia asubuhi mpaka jioni lakini Temba na team iliyobakia nyuma TMK-Family wanakuja na vitu vya akili na ujmbe mzito kwa sasa yaani huwezi kuwapimia ni fuuuull credit... Jayjay London.... Sorry Sir nature but Habari ndio hiyo...
ELMSURY 3 years ago
Yoh wanaume....keep the ball bouncin !! fo sho..tel dem motha&*5ers trying to be americans in bongo...hatua moja mbele kumi nyuma !!! dedication to all matozi wa bongo....keepin' it so real wanaume !! feel ya brothas ! rastaaaaaaaah !! keep makin' more sensible beats like this !!
ujamaabay 3 years ago
Dope video i'm from london saw these guys in Dar MAD SKILLZ.
colmadina 3 years ago
ebwana eeeh mule mule message delivered!!! kiwango
tatuuzy 3 years ago