katika nyimbo hii napenda ile sehemu aliposema kuwa furaha yake imekuwa kilio chake na mara nyingi huwa ni hivi vile unavyopanga mwisho wake unakuja kujuta hasa wakati wa mapenzi au ndoa vile unavyopanga wewe kumbe mwenzako anafikira nyengine ya kukutumia
masskini mjawakukosa wakukosa umempata kumbe marehem mitihani pole sana utapata mwengine ingawa ngumu sana lakini usikate tamaa . lakini sasa nahuko kuwambiwa umeuwa sasa ndokishindo!!!!!!!!!!!!!!
Ajab! kitu hiyo! manze, haki hii inabamba. siwezi, kukaa bila kusikiza huu wimbo, haki inaniguza kwa undani,, nahisi hayo kweli. video poa pia! safi kabisa hussein machozi. rogo industry ndugu! nawaomba mpost video kama hizi kwa viel sie tuko kwa disapora tunategemea u-tube, kwa vile hakuna local radios wenye wana airplay.
Hussein Machozi, jina ndio mtu kabisa...nani utakuona wewe mkweli, nani atakudhamini...furaha yangu ulikuwa kilio changu, ndoto zangu leo majonzi kwangu nitawaleeza nini walimwengu, vip wataniona me ni mkweli, vip nikiwaelezea wataniamini...mwimbo mzuri sana tena wa akili..big up Hussein Machozi!!
2011 and im still loving this song!!! good stuff!!
leylachiri 4 months ago
Mmh hili ni bonge la song yaani linavuta full mahisia
icynife 8 months ago
machozi ni msanii!hii ngoma inanifurahisha sana,hongera
MrShaaban1 9 months ago
Sela wewe ni msanii wa kutajika! Ngoma zako ziko juu tu sana!
jaxfyl 9 months ago
yup that's a dilemma alright. One word Autopsy, hopefully she was not murdered.
chachala2 9 months ago
although i dont understand from the acting i get the concept...i love the cool rythm....
WHAT IF IT WAS REAL...GOD FORBID...???
TheAbdi143 1 year ago
katika nyimbo hii napenda ile sehemu aliposema kuwa furaha yake imekuwa kilio chake na mara nyingi huwa ni hivi vile unavyopanga mwisho wake unakuja kujuta hasa wakati wa mapenzi au ndoa vile unavyopanga wewe kumbe mwenzako anafikira nyengine ya kukutumia
utaani1 1 year ago
the beats of this songs sound like those Of "Makmuga" but slightly tampered with...Really Nice song....Keep it UP
Miccqe 1 year ago
Good story teller. keep it up
abu628 1 year ago
if u love it buy it,dont 2 support the singers.
streetboyturnthug 1 year ago
wow.....reallllly gud song!!!keep it rockin man
keemshakes 1 year ago
This has been flagged as spam show
damm man i really love your songs
this music makes me feeling batter when i lesting
minani100 1 year ago
damm man i really love your songs
this music makes me feeling batter when i lesting
minani100 1 year ago
call 911
border0723 2 years ago
speechless Bongo flava tama tamu great job
obaipapa 2 years ago
hasahnee
comments can be kinyume na utakavyo so sorry to hurt ya feelings.
I thot was constructive comment
Stick na eastern ila commercialization and globalization huo ubaguzi umekufa na watu wako fast
Angalia Akon alipo
Soon mdogo wa Somalia Knaan anatesa BET
babalisa06 2 years ago
Video ni maigizo na filamu
Not a music video
Wimbo bomba but not active
babalisa06 2 years ago
stop using western standards on african videos. we will love what we want to love NOT WHAT WESTERN CRITICS LOVE.
hasahnee 2 years ago
hwo the fuck can u party on this,,, story telling..go bongo....wana party...welcome in Narobarry...
callin76 2 years ago
this song is live
KingOmmy 2 years ago
damn, bongo artists can always tell a story...... big up!
msamaria120 2 years ago
masskini mjawakukosa wakukosa umempata kumbe marehem mitihani pole sana utapata mwengine ingawa ngumu sana lakini usikate tamaa . lakini sasa nahuko kuwambiwa umeuwa sasa ndokishindo!!!!!!!!!!!!!!
sayidfamily 3 years ago
good n sad n sweet!!big up man!!enuff respect all the way frm norway!!!ethippian gal here loves u!!!
Karugada 3 years ago
Ajab! kitu hiyo! manze, haki hii inabamba. siwezi, kukaa bila kusikiza huu wimbo, haki inaniguza kwa undani,, nahisi hayo kweli. video poa pia! safi kabisa hussein machozi. rogo industry ndugu! nawaomba mpost video kama hizi kwa viel sie tuko kwa disapora tunategemea u-tube, kwa vile hakuna local radios wenye wana airplay.
adeqze 3 years ago
hi nyimbo safi hizi ndio bongo fleva
halima3821 3 years ago
Hussein Machozi, jina ndio mtu kabisa...nani utakuona wewe mkweli, nani atakudhamini...furaha yangu ulikuwa kilio changu, ndoto zangu leo majonzi kwangu nitawaleeza nini walimwengu, vip wataniona me ni mkweli, vip nikiwaelezea wataniamini...mwimbo mzuri sana tena wa akili..big up Hussein Machozi!!
bbxx2 3 years ago
skiniiiii siku kampata ndo amekufa lol
1munaa 3 years ago
maskiniiiii siku kampata ndo amekufa lol
1munaa 3 years ago
nice video
lethissia 3 years ago
aint sympathazing wiv tha edjit
hustlingdawg 3 years ago
hahahahahah,alikua zake zimefika ,lookifo sicho.
aishpru 3 years ago
ooiyeeee,nimemhurumia
tapsysweet 3 years ago
Dammmmmmmmmn!!..i've ben waitin 4 dis video 4 a long tym finaly i gotta c it nw....Amazing!
somaligirl16 3 years ago
yarta haye
hustlingdawg 3 years ago
kijana gear ndogo alah
bibaye 2 years ago