Hakuna happy family ever with 2 wife......is shit,I'm sorry Leila,hakuna mwana mke yoyote ambae ana penda kuchangia mme,niunyonge huo,lazma awe upande mmoja kwa sababu wana wake tona tofauti kila m2 na radha yako,so that means he can't love the same all of u!!
@rahmarados yeah..kweli he cant love them equally....but nı bora ukubalı mumeo aoe mke wa pılı kulıko ambavyo waume wengı huwafanyıa wake zao..nayo nı kua na wanawake wengıne... sayansı yenyewe ımethıbısha kwamba mwanaume harıdhıkı na mmke mmoja kutoana na sıfa ya kıume kuhıtajı utawala zaıdı...ıla wapo walıoa mke mmoja na wakarıdhıka....
Kuwa na wake wawili ni jambo hujaliamkia au kulilalia Mr mzee na bora ungesema kiswahili neno ulosema award na sio ewadi jishike ujipatapo usikimbilie makuu mzee hujafika kusifiwa umebidi ujisifu mwenyewe
@TheZepporah Unauliza tena watanzania kwa ngono na pombe naona kama ndio nusu ya maisha yao ,ukipasua kichwa cha mtanzania utaona ngono,pombe,wizi,zulma na kukabana.
Pple relax, they are not complaining, at least they are happy wid thier lives ;)
sahaam2 2 weeks ago
Natafuta mke-- ---nitatua Dar kabala ya kenya---sijui hao warembo wanakula nini Tanzania salaaaaaaleh!
tamaduni 1 month ago
Hakuna happy family ever with 2 wife......is shit,I'm sorry Leila,hakuna mwana mke yoyote ambae ana penda kuchangia mme,niunyonge huo,lazma awe upande mmoja kwa sababu wana wake tona tofauti kila m2 na radha yako,so that means he can't love the same all of u!!
rahmarados 2 months ago
@rahmarados yeah..kweli he cant love them equally....but nı bora ukubalı mumeo aoe mke wa pılı kulıko ambavyo waume wengı huwafanyıa wake zao..nayo nı kua na wanawake wengıne... sayansı yenyewe ımethıbısha kwamba mwanaume harıdhıkı na mmke mmoja kutoana na sıfa ya kıume kuhıtajı utawala zaıdı...ıla wapo walıoa mke mmoja na wakarıdhıka....
dullaboyable 1 month ago
Siamini !
Espenji 7 months ago
we luv u mzee, take care of your wonderful family brother!
hassanmakame 8 months ago
bado wawili ukamilishe sharia hehe
mrmish3l99 9 months ago
DAME GOING TO TZ I NEED FOUR WIFES
opudo 10 months ago
Omg its the Swahili Forest Whittaker! 0:44!
mzenji 10 months ago 2
@mzenji, He do look like the actor Forest Whittaker.
BalaamJesus799 4 months ago
maskini-leyla ni mwanamke mwenye raha zake mashallah.shes reaaly a happy woman.i hope mzee hamzingui.dat cute mama.
mimicute12345 1 year ago
Kuwa na wake wawili ni jambo hujaliamkia au kulilalia Mr mzee na bora ungesema kiswahili neno ulosema award na sio ewadi jishike ujipatapo usikimbilie makuu mzee hujafika kusifiwa umebidi ujisifu mwenyewe
IBENSADUUN09 1 year ago
@IBENSADUUN09 ha ha ha you are rigt du
juniorborbo 1 year ago
Poor african women!mnyonyeni huyu mjinga na mali yake ikiisha mwende zenu, shenzi yeye
wanzueni 1 year ago 2
@wanzueni lol
lmashua 1 year ago
haaaahaahahahahaha,....oyaaa mbona huyo mkeo aloonyeshwa mwanzo hapo mwishoni anona ka amenuna hivi...hahahaha ahata akinuna mke mwenza kama kawaaaaa!!hahahaha
kakerejuniro u r so ryt kabisa!!!!
MrMedy86 1 year ago
wake zako wazuri lkn leila rashidi ni mzuri zaidi sema ukweli mzee
kakerejunior 1 year ago
Mfalme mwenyewe, kajua kuchagua kweli haliwe.
Limos2008 1 year ago
Aha! sauti kama asali is the wife
jakadenge 1 year ago
ovyoooo,ngono tuu ana lolote
TheZepporah 1 year ago
@TheZepporah jelousy sasa hiyo
saidi75 1 year ago
@TheZepporah lol