Added: 3 years ago
From: tizedboy
Views: 12,632
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (9)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Huu wimbo ni wa Milimani Park. Nakumbuka kumsikia mtunzi Cosmas Chidumule akihojiwa na TBC Taifa na kueleza aluitunga alipoona mazingaombwe yakimwandama.

  • tizedboy tafadhali kaka ntafutie

  • Wimbo huu unanikumbusha mwaka 2004. Kukuchekea sio kufurahi nawe. nimejifunza kujihadhari na walimwengu. yalionikuta kwa binadamu madhulumu nayajua mwenyewe na mungu wangu.

  • Hapo King spoiler RIP alipiga solo ya masikitiko sana. Hiyo combination ya kiitikio ilikuwa inatisha, Gurumo, Bitchuka balaaa

  • hapana ndg mkwiro, edita ni wimbo wa mlimani, si wa juwata. ukitaka kuthibitisha hilo sikiliza vizuri saksafoni la kingmaiko na sauti ya hamisi kinyasi, na hata gurumo amemtaja king maiko. hapo ndo utajua vizuri kuwa hiyo ni sikinde, JOSEPH MULENGA ktk solo yeye hakuwahi kuwa juwata HIYO NI SIKINDE KAKA

  • Habari zako tena,

    Mimi nina hakika label ilotumiwa kwa nyimbo hizi ni ya Juwata/OTTU/Msondo. Si Sikinde Mlimani Park. Tena nakuelewa kwa vizuri sana kwa nini umechanganyikiwa hapa. Ni kwa sababu kina Muhidin Ngulumo, Hassan Bichuka na wengineo walikuwa wanahama sana, tena sana, na kurudia tena bendi walizoziacha. Kwa hiyo wakati mmoja au mwingine wapenzi twatatizika jina/bendi gani hapa wametumia. Hatahivyo hii nilitaja tu, kukutanabahisha, haikupunguza starehe ulotuandalia hapa. Asante.

  • Mkwiro, Sikinde walikuwa na sauti yao au style kama walivyo msondo leo hii.. (Sijui kama Sikinde bado wanafanya vitu vyao kama hapo awali) Ilikuwa ni rahisi kutambua mara usikiapo muziki wa bendi hizi mbili.. pamoja na kuhama kwa wanamuziki; lakini si kitu ..

    tunafurahia.. PAMOJA TU..

  • Kwanza asante sana kwa zawadi hii ulotuwekea kuburudika. Nilikuwa nataka kusema kuwa wimbo huu si wa Mlimani Park. Ni wimbo wa kina Chongo walipokuwa na Juwata Jazz. Najua inatatiza hasa kwa vile walikuwa waimbaji haohao wanahama kwa kikundi kwenda bendi moja mpaka nyingine. Hata wimbo kama Edita waliuimba wakiwa na Juwata Jazz si Mlimani kama ulivyoandika. Mungu akupe uwezo wa kutuwekea nyimbo nyingine nyingi za wakati huu.

  • @Mkwiro ucwe mbishi,hawa ni mlimani park orch,sikinde ngoma ya ukae,hapa ni full nondo

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more