Aaaa! Jameni! Yakafanyika wapi haya? Eti mke wako katiwa mimba na mwendani wako kisha wewe kwa sababu ya ukristu ikabidi umsamehe thene mwendelee na ndoa? Kumsamehe sawa. Lakini ndoa lazima iishe......Huyu apewe talaka jameni! Wenzetu mjihadhari sana nao mabinti wanaotoka Africa ati mmenda nyumbani kuwaleta kama wakewe!

bwari01 1 month ago