this is the original muziki wa dansi from tanzania that time no congolies music no way swahili music was no 1 listen the original sound of tanzania the land of mwalimu haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ddc mko wapi wazee wetu mturudishi utamu wa zamani
this is the original uuziki wa dansi from tanzania that time no congolies music no way swahili music was in top listen the original sound of tanzania the land of mwalimu haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaddc mko wapi wazee wetu

this is not the origional one, when i used to listen when i was kid...kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk mentiroso band fake one, duplicate please i need origional one por favor
@tizedboy wimbo huu walitoa kati ya mwaka 88 walilikodia Kenya baada ya Kutuhumu RTD wakati huo kwamba walikuwa wanauza kazi zao bila DDC kupata faida.kwa hiyo RTD wakawa hawapigi nyimbo yoyote ya DDC kutokana na tuhuma hizo. Nyimbo nyingine zilizotolewa na hii ni Pamoja na Kuku, Kisonoko, Moi,
Ahsante sana MightyLumber kwa huu wimbo. Nilitaka kukuuliza kama unaweza ku post nyimbo nyingine ambazo ziko kwa hii album kama vile "Kisonoko" na "Kutarajia Kujenga Nyumba Nzuri"
I could be wrong but I hear Bichuka, anyway, nilitaka kusema kwamba Tanzania ndiyo nchi ya Kushitarehesha (California of East Africa) katika Afrika Mashariki. Ndugu zetu musiogope WaKenya kwa vile hawana namna ya kujieleza kwa lugha ya kitaifa katika afrika Mashariki, You are too gooood. Eh, Sikinde tuende mbele. Jeza na Wana Sikinde.
@LusaMonene Basi ndugu yaonekana ungwana ume kuoweka,mbona uwataje wakenya?chuki na wivu mbaya,huu mziki hauna uhusiano na wakenya hata chembe kwa hivyo furhia mziki na uwaache wakenya kwa upole,ahsante.Maendeleo kenya.
You are almost there: The band is called D.D.C. Mlimani Park or Sikinde as it is known in TZ (Tanzania), the name of the song is "Ni Nani Aliyemdanganya Mchumba wangu?"
Big up Sikinde for this song, sad but it happens in toiday's society.

yusefbig 8 months ago

hadijabrown 11 months ago
what a memory!! Hii album Kisonoko wairekodi nairobi Kenya!! Kuna ule mwimbo baba Moi nani anao??
helpers10 1 year ago
kuna mtu anayejua waliimba lini huu wimbo?
tizedboy 1 year ago
@tizedboy wimbo huu walitoa kati ya mwaka 88 walilikodia Kenya baada ya Kutuhumu RTD wakati huo kwamba walikuwa wanauza kazi zao bila DDC kupata faida.kwa hiyo RTD wakawa hawapigi nyimbo yoyote ya DDC kutokana na tuhuma hizo. Nyimbo nyingine zilizotolewa na hii ni Pamoja na Kuku, Kisonoko, Moi,
gombera1 6 months ago
Ahsante sana MightyLumber kwa huu wimbo. Nilitaka kukuuliza kama unaweza ku post nyimbo nyingine ambazo ziko kwa hii album kama vile "Kisonoko" na "Kutarajia Kujenga Nyumba Nzuri"
LusaMonene 1 year ago
Katika hii alblum kuna wimbo kwa jina "Kisonoko" inwezekana kuna jamaa anao!! Please post it.
LusaMonene 2 years ago
I could be wrong but I hear Bichuka, anyway, nilitaka kusema kwamba Tanzania ndiyo nchi ya Kushitarehesha (California of East Africa) katika Afrika Mashariki. Ndugu zetu musiogope WaKenya kwa vile hawana namna ya kujieleza kwa lugha ya kitaifa katika afrika Mashariki, You are too gooood. Eh, Sikinde tuende mbele. Jeza na Wana Sikinde.
LusaMonene 2 years ago
@LusaMonene Basi ndugu yaonekana ungwana ume kuoweka,mbona uwataje wakenya?chuki na wivu mbaya,huu mziki hauna uhusiano na wakenya hata chembe kwa hivyo furhia mziki na uwaache wakenya kwa upole,ahsante.Maendeleo kenya.
paschalgeoffrey 2 years ago
You are almost there: The band is called D.D.C. Mlimani Park or Sikinde as it is known in TZ (Tanzania), the name of the song is "Ni Nani Aliyemdanganya Mchumba wangu?"
Big up Sikinde for this song, sad but it happens in toiday's society.
MightyLumber 2 years ago
A mighty thanks for clarifying!
cutandgo 2 years ago