Added: 3 years ago
From: donaldbituro
Views: 37,147
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (7)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • You guys did it well.

  • iyi nindoa nzuri sasa

  • RIP Mama 2:54, 3:25

  • Jamani hilo sanduku lina nini???hehe Kweli linaitaji uvumilivu, hadi koti asaidiwe kufungua...basi nami anisaidie kufunga kitaamba kichwani...nipe nikupe mapenzi yadumu :-)

  • Ngudu zangu katika kristo, Wimbo huu una ujumbe wa pekee kwa watu wote: kwanza, kwa wale waliokwishaoa au kuolewa; pili kwa wale wanaotarajia kufanya harusi.  Zaidi ya yote, ujumbe unatolewa kwa kanisa; kwani kanisa ni bibi harusi na Yesu ambaye ni Bwana harusi, hapendi kouna washiriki wakiibomoa nyumba yake. Mungu abariki kwaya ya Kinondoni SDA pamoja na wale wote wanaosikiliza wimbo huu.

  • Wimbo huu ni wa pekee kwa watu wote: Unatoa ujumbe kwa wale waliokwishaoa na kuolewa pamoja na wale wanaopanga kufunga harusi.

    Zaidi ya yote, wimbo huu ni kwa ajili ya kanisa, kwani kanisa ni bibi harusi na Yesu ambaye ni Bwana harusi hapendi kuona washiriki wakibomoa nyumba yake. Mungu abariki Kinondoni SDA Choir pamoja na wale wote wanaosikiliza ujumbe huu.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more