nafikiri hviyo pia. tunahitaji watu kama Mengi atoe mchange ili tuiondoe Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisadi. Tanzania ni nchi yetu lakini kuna watu wanaoiharibu. hatuna budi kuikomboa. Na mafisadi wengi ni network za foreigners na ndio maana hawapendi kuona Mtanzania aliyefanikiwa kwani ni threat kwao. Tusisahau tulikotoka kwa kweli. HE INSPIRES ME A LOT.
mengi unaonge point kila wakati ndugu, mchagga unatakiwa ungombe urais
csharra 2 years ago 4
nafikiri hviyo pia. tunahitaji watu kama Mengi atoe mchange ili tuiondoe Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisadi. Tanzania ni nchi yetu lakini kuna watu wanaoiharibu. hatuna budi kuikomboa. Na mafisadi wengi ni network za foreigners na ndio maana hawapendi kuona Mtanzania aliyefanikiwa kwani ni threat kwao. Tusisahau tulikotoka kwa kweli. HE INSPIRES ME A LOT.
intrepeco 2 years ago