Added: 3 years ago
From: gospelgtv
Views: 2,852
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (2)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Serikali ya mseto. Wamegawana madaraka, na sasa wanagawana hata UNGA wa mwananchi wa kawaida. Tumlaumu nani? Unga mfuko wa kilo mbili unagharimu 120 KSHs. Je ni sawa hivyo? Wanasiasa hawajali kwani mishahara yao ni minono na hawataki hata kukatwa kodi.Wanadai zile wanazotumia kuwahonga wanahabari ndiyo kodi yao. Kila mhariri wakati wa uchaguzi tumbo huwa kubwa kwa hongo toka wanasiasa. Je ni MEDIA imechangia mfumko wa bei ya unga na bidhaa nyingine muhimu? Watasema hapana ni wanasiasa. wasemaje?

  • Munishi Mbona kila kitu unawalaumu wanahabari? Naona kama na wewe sasa umeingia kwenye taaluma hiyo kichwa kichwa. Unatuletea habari moto moto hapa kwenye mtandao. GTV inachana mbuga NTV KBC wanaona vumbi tu. Je wewe utakuwa tofauti na wanahabari walarushwa? Au GTV ikipata watazamaji milioni mia moja nawe utatoa tumbo kubwa. Naona GTV inaelekea mahali pa kunyakua umaarufu wa CNN na BBC. Kwa sasa naweza kuilinganisha na MSNBC. Je unaapa kuyalinda maadili ya uandishi habari? Wanasiasa wasikununue.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more