Although i was sick when i visited mombasa last month, i loved the place and its people . They are amazin . life in south America is diffrent. I miss home.
Yahoo! My link is smooth and continuous at Hazina Towers(Nairobi CBD), no buffering.Thanks to Fibre Optic.Thanks to Technology and Maulana. Am enjoying Mwanahawa Ally uninterrupted.
Ndio nilicheza taarabu na bango harusi yangu Kikambala, karibu na ufuo wa Indian Ocean... mwah! Afrika yapendeza! . Bora organisation iwe sawa, kila kitu chawezekana.
Nyimbo maridadi. Naweza toa wapi wimbo ulosema "una nguo ya kufua na wala huna sabuni" I used to listen to taraab music on Kenya Broadcasting Corporation zilizopendwa kipindi the them days when it was Voice of Kenya. Ha ha ha Zanzibar fascinates me. I wanna go buy those beautiful attires there.
big up East African Melody Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
Cute and shy with a sweet voice.I mean the one singing.
blykqk 5 months ago
KWELI HAKUNA MKE WA WAKE!!!
Abdulikaka 1 year ago
viumbe ni wazito kidogooooooooooooo.............
latifahmoody 1 year ago
@latifahmoody wimbo ni wa kike na wasenge wanaume ambao wamejaa coast
somboi71 1 year ago
salam aleikum,
asante sana kutuwekea huu wimbo.
Kenya ndio top ten wapigwa mara kwa mara.
Mpaka ikabidi ninunue cd yake.....Hakika ni kweli viumbe wazito....
shukrani
derisa71 1 year ago
napenda sana nyimbo zenu
Julianita43 1 year ago
hoyaaa! xD
bbysiham 1 year ago
god bless u love from somalia nice taarab
mos58 1 year ago
i love these people. musquie exellent.
Generalidibabu 1 year ago
Happiness and sadness are the same everywhere. It is so good to hear a nice song from a distant land.
PUTHENTHOPE 1 year ago
haya mama kazi ipo..kuwabeba hao kazi ni wazito.hehehehehhe
malabeeey 1 year ago
i love his song!!
5522633ify 1 year ago
hayo magita na vinanda ni baaaaab kubwa!
agrenveng 2 years ago
sadakta viumbe wazito hata hamna shukurani .asanta mwanahawa.
shinonish 2 years ago
whats this song about anyone?
Wonderhunter94 2 years ago
is about a person who deeds good things to his /her friends but in return he gets bad things from them.
juniorborbo 2 years ago
thats awesome, thank you.
Wonderhunter94 2 years ago
I would love to go back there. Iam in love with the people and its enviroments . The music is excellent.
Generalidibabu 2 years ago
Although i was sick when i visited mombasa last month, i loved the place and its people . They are amazin . life in south America is diffrent. I miss home.
Generalidibabu 2 years ago
Yahoo! My link is smooth and continuous at Hazina Towers(Nairobi CBD), no buffering.Thanks to Fibre Optic.Thanks to Technology and Maulana. Am enjoying Mwanahawa Ally uninterrupted.
contractservice 2 years ago
home is home . Love ya mama.
Generalidibabu 2 years ago
Hawa ni viumbe wazito kweli. Such a lovely tune but New Zealand is very far from Mombasa. Just lovely to listen. Nina wapongeza!!
simondondi 2 years ago
Hawa viumbe waweke fungu moja na wanasiasa wetu Kenya, na utumie crane kuwainua na kuwatupa baharini!
...such a sweet melody, and such cute ladies too!
larryboy1995 2 years ago
viumbe wazito ama kweli hawabebeki, hata wawekwe fungu gani. fungu la tomato, la viazi lahaula. I miss mombasa, thanks lamu boy, Jay from U.K
jumasalmin 2 years ago 2
wape wape viumbe wazitooo wanashidaa sana kuwabebaaa......IKIBIDI RAHAA RAHAAAA
papiypooh 2 years ago
Can someone tell me the name of the slim, tall female? Does she also sing?
Maxadeey 2 years ago
maxadeey, iam comin to zanzibar on may 29 write to me.
Generalidibabu 2 years ago
Hallo, i used to listen to taraab music when i was in africa,kenya,rwanda,zidi kuwa viumbe mahasidi,jadadi in USA.
ramaedy 2 years ago
Mimi kuja hapu kenia muzik calinte ,Maria.
Generalidibabu 2 years ago
Wimbo swafi sana, mashairi kiboko.....ahsante sana mtoto wa Lamu.
mkuki2000 2 years ago
Bravo!
jakadenge 2 years ago
Ajaaab
torhinah08 3 years ago
kabisa!!!
sshortcake1990 2 years ago
pepeta! Nyimbo hii niliicheza Harusi yangu December 2004! Wape Wape! Viumbe Mahasidi!
Hawoooooooo!
kirio28 3 years ago
dah umecheza taarabu kwenye
harusi yako nakuaminia
husna44 3 years ago
Ndio nilicheza taarabu na bango harusi yangu Kikambala, karibu na ufuo wa Indian Ocean... mwah! Afrika yapendeza! . Bora organisation iwe sawa, kila kitu chawezekana.
kirio28 2 years ago
Nyimbo maridadi. Naweza toa wapi wimbo ulosema "una nguo ya kufua na wala huna sabuni" I used to listen to taraab music on Kenya Broadcasting Corporation zilizopendwa kipindi the them days when it was Voice of Kenya. Ha ha ha Zanzibar fascinates me. I wanna go buy those beautiful attires there.
mukenia12 3 years ago
HII wimbo ni mzuri sana. Ongessa singine. Maria Hadesa.
Generalidibabu 3 years ago
Tafadhali zengea nyimbo za Sitara Bute pia. hususan : kidampa nuksi
tingbadmalo 3 years ago
hamjambo watu yote. This song was misuri sana
DavidncRobson 3 years ago
Yeh ni misuri kweli kweli
tingbadmalo 3 years ago
santa mwanikumbusha mbali mombasa rahaaaaaaaaaaa
123sousou 3 years ago
mie wa mombasa lakini mafumbo haya yani pita ju kwa ju.....
nzimalaya 3 years ago
Mama huu wimbo poa Love you .
Generalidibabu 3 years ago
Aksante sana Zanzibar, ujumbe mzito kweli viumbe wazito hao,
senye1978 4 years ago
Wimbo poa! Wapelekee Nyumbani Uswahilini Buyenzi nao wafurahi.Endelea kupost taarab bomba kama hizi. Kumbe viumbe wazito hivo????
AbuSharif1 4 years ago
mie mkenya damu lakini muziki huu umenibamba kweli kweli maneno bayana kabisa yenye maarifa
besaffy 4 years ago
zanzibar oyaaa.nawatamani sana ndugu zangu.
selaboy 4 years ago
Pure SWEETNESS!!!!!!!!!!!!!
larryboy1995 4 years ago
Huu wimbo sio mchezo!
mheshimiwa 4 years ago
ngoma poa
sonko12 4 years ago 2
haya kumekucha
zenji2000 4 years ago
sweeeeeeeet sound. just too sweet,
babu, kenya
wbabu 4 years ago 2
NICE
caglar5 4 years ago
jamani wimbo huu mtamu kweli!
samoi1 4 years ago
big up East African Melody Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
tanzanianboy 4 years ago
Viva Zanzibar, viva Tanzania
tanzanianboy 4 years ago
halo taarabu za east african melody noma kweli, tutajijuu. inaleta ukiwa kweli
makikosh 4 years ago
Tamuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
backgammonspieler 4 years ago
Mwanahawa sauti ya dhahabu, Go Mwanahawa! Go East African melody
Wawaaa mambo ya kiunguja hayo! Zanzibar rock!
kinyume 4 years ago
Nimeshukuru sana kwa nyimbo hizi za taarab... Wimbo huu umenikumbusha Mombasa sana..shukrani
amshy70 4 years ago
imenikumbusha mombasa too after 16 years awesome
naimaszf 4 years ago