wewe ulieandika message hapa chini nakuonea huruma kama umeishiwa maneno kaa kimya na usifungue program zisizokuhusu computer inamambo megi sana si lazima uandike upuuzi wako hapa kwenye hii page na usifikiri kuwa ni sifa tembelea sehem zinazokuhusu usije kujitafutia hatia za lazima Bwana yesu akurehem mana sikulaum namlaum aliyeko ndani yako asante
AMOSI 6.5 nyie munayoimba nyimbo zaupuuzi pamoja na sauti yavinanda nakujifanyia vinanda vya namna nyingi kama vile daud 6.7watakenda utumwani na macezo yao na huko motoni watakoma
AMOSI 8.3 tena nyimbo za hekaluni zitakuwa vilio siku ile asema bwana mungu. wakiristo watatupwa motoni wakinyamaza kimywa
HEBU NITAFUTIENI NYIMBO MBOJA TU YESU AMBAYO ALIIMBA AU ALIWAIMBISHA WALIOMUAMINI? KAZI HIYO
@MyShau As an ambassidor of Christ let me answer your question.Jesus never wanted to praise himself so kama akiponya mtu alikuwa anasema enda na usiseme ni mimi nimekuponya angejisifu aje?Again he taught us the Lord prayer which was in a poetic form.Do you know that those people who like poems also like song?
LAZIMA UMJUE YESU NI NANI? NA UUJUE UWEZO WA YESU KUWA NI WA NANI?
matayo 20.23 yesu hana uwezo
YOHAN 5.24 wewe husikii neno la yesu +5.30 yesu hawezi kufanya neno +7.16>17 mafunzo ya yesu sio yake +8.47 wewe ni wakiristo sio wa mungu (2korinto 11.12>15) +11.41>42yesu katumwa NA MUNGU
+12.44>50 KILA ALIYE MKIRISTO NA AFAHAM NENO HILI +8. 21 na 13.33 mutakufa na mizambi yenu +16.25>26
YESU ALIMJUA PETRO NI SHETANI SASA MTAFUTE PAULO NI NANI?
Yusto asante kwa kuitumia talanta yako uliyopewa Bwana kwa kutufurahisha na kutukumbusha kwamba Yesu ni mweza!Mungu akubariki tena na tena wewe na familia yako.
Everytime i listen your songs I forget about all the misery I might be going through. Your smile is infectious, it spreads through my soul and I find myself smiling, relaxed and very happy. Please keep it up.
Hi, Please with All respect, many people want to view the Preachings & Mighty Miracles He is performing through his servant, Dr. Owuor. Kindly remove his name from all the Tags linked to your Music videos
I came across this song when i was at breaking point. I have just listened to it three times and i feel so much alive now for i have left everything in God`s hands. Thanks Yusto for the encouragement
He lives in kenya but from tanzania... Yusto you are a great man of God, your songs inspire me everytime and i carried some of them with me to europe...God bless you..
listern to the instruments they are amazing ,Rest in piece I remember this when I was probably16 its amazing you could hear that Swahili accent of Kenyans it is just beautiful Go Kenyans ,Among the African gospels classics it is in my collections
Never mind about my comment above I meant Emachichi sorry for confusion hope you will undestand .He is amazing singer and may God give him long life .
Msifuni kwa kinanda na kinubi Nyimbo mnazomsifu sana mungu ziwe kooni mwenu kwa sababu bwana yesu ni mkuu na mwenye nguvu nyingi uelewaji wake hauwezi kusimuliwa Anawaponya wenye mioyo iliyovunjika [JAPAN]
dugu yanyu umabrikiwe sana, kila mtu akiskiza this song imani huwa inainuliwa zaidi, hata sasa naskia kuamini Mungu zaidi kwa yote ninayo tarajia. God bless
thanks mzalkun for adding this. It is one of my favourite. Yesu ni muweza kwa yote ameniwewezesha this far it has taken his might hand. This song blesses my heart.
Yesu ni muweza kweli .I have a very big testmony....God bless you with your family and reach you in all your needs.from Germany
safari2010ish 3 months ago
Good music God bless
MrOlenee 4 months ago
Yes my brother he makes way where there a no ways. he prepareth a table be4 the eyes of our enemies. JESUS IS ABLE IN ALL.
marugadeno 5 months ago
Yesu ni muweza yote kweli...this song inspires me realy.
kkarithi 5 months ago
Yesu ni muweza kweli!! This song really blesses me.
Mpendwamtoto 6 months ago
Awesome, is it
MrKingtobz 7 months ago
@TheZadwoman, Yesu ni Muwezaa means Jesus is able
manmmorgan 9 months ago
what dos jesu ni muweza mean?
TheZadwoman 9 months ago
GOOD BLESS YOU
MrAdija 1 year ago
wewe ulieandika message hapa chini nakuonea huruma kama umeishiwa maneno kaa kimya na usifungue program zisizokuhusu computer inamambo megi sana si lazima uandike upuuzi wako hapa kwenye hii page na usifikiri kuwa ni sifa tembelea sehem zinazokuhusu usije kujitafutia hatia za lazima Bwana yesu akurehem mana sikulaum namlaum aliyeko ndani yako asante
The90720 1 year ago
congrats Yusto.Very blessed
Keygerthey 1 year ago
AMOSI 5.23 niondoleeni kelele zanyimbo zenu maana sitaki kusikia sauti zavinanda vyenu
AMOSI 6.5 nyie munayoimba nyimbo zaupuuzi pamoja na sauti yavinanda nakujifanyia vinanda vya namna nyingi kama vile daud 6.7watakenda utumwani na macezo yao na huko motoni watakoma
AMOSI 8.3 tena nyimbo za hekaluni zitakuwa vilio siku ile asema bwana mungu. wakiristo watatupwa motoni wakinyamaza kimywa
HEBU NITAFUTIENI NYIMBO MBOJA TU YESU AMBAYO ALIIMBA AU ALIWAIMBISHA WALIOMUAMINI? KAZI HIYO
MyShau 1 year ago
Comment removed
Keygerthey 1 year ago
@Keygerthey
ETI MBONA NGUO ZA MFALME DAUD ZILIANGUKA?
HII MIJITU MENGINE NI SAWA NA KUMPIGIA MBUZI GITA IMO TU DUNIANI
NDIO YESU AKAIAMBIA ITAKUFA NA MIZAMBI YAO. BASI NA WEWE NGUO ZIKUANGUKE CHEZA
MyShau 1 year ago
@MyShau As an ambassidor of Christ let me answer your question.Jesus never wanted to praise himself so kama akiponya mtu alikuwa anasema enda na usiseme ni mimi nimekuponya angejisifu aje?Again he taught us the Lord prayer which was in a poetic form.Do you know that those people who like poems also like song?
Keygerthey 1 year ago
@Keygerthey
HAHAHA
SASA WEWE UMEPONYWA NA APOST KWA JINA LA YESU
MATAYO 24.4>5 NA 24.23>26
MIJITU MENGINE MIDUDU
MyShau 1 year ago
@Keygerthey
HUJASOMA KWANZA KUWA YESU HANA MAMLAKA YOYOTE ILE MUNGU ANALOMUAMRISHA NDIO ANALOFANYA.
WEWE VIPI?
UMEKULA MKATE NINI ULIOTIWA MAVI?
MyShau 1 year ago
@Keygerthey
LAZIMA UMJUE YESU NI NANI? NA UUJUE UWEZO WA YESU KUWA NI WA NANI?
matayo 20.23 yesu hana uwezo
YOHAN 5.24 wewe husikii neno la yesu +5.30 yesu hawezi kufanya neno +7.16>17 mafunzo ya yesu sio yake +8.47 wewe ni wakiristo sio wa mungu (2korinto 11.12>15) +11.41>42yesu katumwa NA MUNGU
+12.44>50 KILA ALIYE MKIRISTO NA AFAHAM NENO HILI +8. 21 na 13.33 mutakufa na mizambi yenu +16.25>26
YESU ALIMJUA PETRO NI SHETANI SASA MTAFUTE PAULO NI NANI?
1timoteo 1.20
1THESALONEKE 2.13 +2.8
MyShau 1 year ago
@MyShau Where do you stand-muslim,christian,hindu or..........And how comes you are very conversant with biblical verses?
amosanjo1 1 year ago
@amosanjo1
such yourself dont be a foolish?
open your mind soma biblia uelewe if u know jeses u can know me?
but u know PETRO AND PAULO and u dont know them very wel
aks jeses who is PAULO AND PETRO? IF U BIELIVE JESES?
SOMA. MITHALI 1.22 +13.16 +18.2 mpumbvu hapendezwi na ufaham(ndio wewe)
MHUBIRI 7.5
TORAT 29.6 wewe umekunywa divai na mikate, utamjuaje mungu?
EZEKELI 4.9>12 wewe umekula mkate wenye mashonde umekuwa mkaidia.
TAFUTA MWENYE INFORMATOIN YA YESU NI NANI?
MyShau 1 year ago
such a blessin melody, God bless you sana
chipiegurl 1 year ago
Aweza yote
benanza89 1 year ago
This has been flagged as spam show
what God can do no man can do
leoache1981 1 year ago
Yesu kweli ni muweza!
Danielmisiani 1 year ago
beautiful song .thanku brother .keep up.
jossyireland 1 year ago
nice song i love it
kimungu1 1 year ago
Nice sounds do!!
jeffmusau 1 year ago
Nyimbo zake nyingine ziko wapi? I like this guy. He got a talent to sing.
123habisternest 1 year ago
AMINA!!!
TheDejaykay 1 year ago
all is possible with you God...thank you God for everything.
juddy0011 1 year ago
when i listen to this music makes me happy bexcause i love this song som much ok ha god bleas you oll
angelusir 1 year ago
Yusto asante kwa kuitumia talanta yako uliyopewa Bwana kwa kutufurahisha na kutukumbusha kwamba Yesu ni mweza!Mungu akubariki tena na tena wewe na familia yako.
mwile1 2 years ago
eeehh ni muweza yote, God am trusting u 4 what am going through...this is my message 2day...Amen.
lionele12 2 years ago
Everytime i listen your songs I forget about all the misery I might be going through. Your smile is infectious, it spreads through my soul and I find myself smiling, relaxed and very happy. Please keep it up.
1mwanafrika 2 years ago
Amen, God bless and increase this talent.
MildredMbogo 2 years ago
sure God is able, for what hv been through. Yusto may GOD bless u abundantly
masore1980 2 years ago
Hi, Please with All respect, many people want to view the Preachings & Mighty Miracles He is performing through his servant, Dr. Owuor. Kindly remove his name from all the Tags linked to your Music videos
chitywa 2 years ago
this song plays in my mind every time that i feel down.. i thank God for this song because he speaks to me through it
gabbyolivia79 2 years ago
this is awesome.....carlmax NC USA
samson8012 2 years ago
my lovely song... my favourite aetist.... bahati mbaya sikununua original Dvds sasa haziwezi cheza huku too bad.. God bless Yusto.
blessedfay 2 years ago
I came across this song when i was at breaking point. I have just listened to it three times and i feel so much alive now for i have left everything in God`s hands. Thanks Yusto for the encouragement
annlaurey 2 years ago 2
God will see you through Anne. Trust in God. He is able.
1syra1 2 years ago
Isyra, thanks for the encouragement. I am touched
annlaurey 2 years ago
Yesu ni muweza kweli I know myself
rigizz 2 years ago
Yesu ndiye muweza.... Amen.
rigizz 2 years ago
He lives in kenya but from tanzania... Yusto you are a great man of God, your songs inspire me everytime and i carried some of them with me to europe...God bless you..
6430913 2 years ago
Yesu ni muweza kweli
mismutua 3 years ago
where is he from?? kenya or tanzania???
moskwabhi 3 years ago
tanzania
nabonwe 3 years ago
thanks!!! he is annointed!!!God bless u!!!
moskwabhi 3 years ago
Kweli yesu ndiye muweza wa yote,I BELIEVE THAT
binwasgloria 3 years ago
ndiyo ni muweza mimi nishaidi! ya kwamba YESU ni muweza!
lmashua 3 years ago
listern to the instruments they are amazing ,Rest in piece I remember this when I was probably16 its amazing you could hear that Swahili accent of Kenyans it is just beautiful Go Kenyans ,Among the African gospels classics it is in my collections
kichaawetu 3 years ago
kichaawetu,am abit confused with your comment Rest in peace,does that mean that hes late or what?please tell.
mariawanga84 3 years ago
Never mind about my comment above I meant Emachichi sorry for confusion hope you will undestand .He is amazing singer and may God give him long life .
kichaawetu 3 years ago
asante sana kwanyimbo hii yesu nimuweza that right na mungu azidi kuku bariki!!
akabmike 3 years ago
mungu akubariki
mamafiket 3 years ago
Msifuni kwa kinanda na kinubi Nyimbo mnazomsifu sana mungu ziwe kooni mwenu kwa sababu bwana yesu ni mkuu na mwenye nguvu nyingi uelewaji wake hauwezi kusimuliwa Anawaponya wenye mioyo iliyovunjika [JAPAN]
hajimehirosi 3 years ago
Amen! kweli ni MWEZA. I AM A WITNESS THAT HE IS ABLE.
opukjakinda 3 years ago
kweli yesu ni muweza am here to testify what he has done to me.Glory to JESUS!
manosie 3 years ago
Halleluyah kweli yesu ni muweza,nimeshuhudia jinsi anaweza
ollidiaz 3 years ago
Kweli Yesu hakuna la kumshinda, nimeshuhudia mara nyingi maishani mwangu Merki,Sydney,Australia....Ubarikiwe naye!
tnygrace 3 years ago
yes there is nothing God cannot do ,amenitendea mengi maishani mwangu kweli anaweza ndugu yusto zidi kutubariki na nyimbo zuri sheila belgium
slkavai 3 years ago
Yes, Jesus can do anything , I am a living witness . I have seen what He can do . Glory be to God
myaniko2000 4 years ago
kweli Yesu ni muweza nimemuona ktk my life, na amini nitazidizi kumuona ktk maisha yangu. Nice job Yusto,God bless U+Tanzania
garaweza 4 years ago
Kweli Yesu ni muweza...hii nimeshuhudia. Asante Yusto kwa wimbo huu..barikiwa
mamjie 4 years ago
thanks for the song. plz post more and more. if you can plz post mjali mwingine by yusto ill be thankful
eunikemueni 4 years ago
This reminds me of JOY BRINGERS them days on KBC.We thank God for other TV chnnels and radio stations. I miss Kenya! keep it brother.
banule 4 years ago
excellent!!
kinenikmo 4 years ago
there's something about this song that is so catchy, i looove it!
mygoose 4 years ago
real gospel yesu nimuwenza,ilove it.thanks for posting this one.
mpenzi2 4 years ago 2
dugu yanyu umabrikiwe sana, kila mtu akiskiza this song imani huwa inainuliwa zaidi, hata sasa naskia kuamini Mungu zaidi kwa yote ninayo tarajia. God bless
joylizpe 4 years ago
it is amazing.This is true evangelization.God bless brother Onesmus.
VIOTEL 4 years ago
Thanks Yusto for this song.
Tunategea kibao kingine bwana.
Wewe ni wetu. Barikiwa uzidi kuwasambazia debe ya nguvu tu hivo.
mankikaka 4 years ago
This is a nice song!!!Kweli Yessu anaweza
ibure1984 4 years ago
thanks mzalkun for adding this. It is one of my favourite. Yesu ni muweza kwa yote ameniwewezesha this far it has taken his might hand. This song blesses my heart.
ashbrookg 4 years ago
nice song thank you for posting this one.
nabonwe 4 years ago