Kwa kweli mnatubariki sana hasa sisi tuliokuwa mbali na nyumbani. Tunajisikia amani na furaha moyoni tunavyounganishwa na neno la injili. Mungu awabariki sana
Ni kweli jamani hakuna kitu cha kumshinda Mungu, kama wana wa Israel aliwavusha katikati bahari ya Shamu bila kuzama lakini maadui walipojaribu kuwafuata tu wakazama kwenye maji, je ni kitu gani kitamshinda Mungu!ili kujua utawezaje kupata DVD hii, ni vizuri kwanza tujue uko wapi ili tukuelekeze wapi unaweza kupata.
Kwa Mungu yote yawezekana. Amen.
ednahable 6 months ago
This has been flagged as spam show
nothing is impossible with God almighty
obora20 8 months ago
Quiero tener esta musica de alabanza a Dios. Dónde los consigo? Me encanta isaackrp !! Bendiciones hermanos,
que idioma cantan?
esther3937 1 year ago
This has been flagged as spam show
Kwa kweli mnatubariki sana hasa sisi tuliokuwa mbali na nyumbani. Tunajisikia amani na furaha moyoni tunavyounganishwa na neno la injili. Mungu awabariki sana
Winston
Eddo1154 2 years ago
Jina la bwana Yesu libarikiwe.
sharonleshuma 2 years ago
Comment removed
Eddo1154 2 years ago
Ni kweli jamani hakuna kitu cha kumshinda Mungu, kama wana wa Israel aliwavusha katikati bahari ya Shamu bila kuzama lakini maadui walipojaribu kuwafuata tu wakazama kwenye maji, je ni kitu gani kitamshinda Mungu!ili kujua utawezaje kupata DVD hii, ni vizuri kwanza tujue uko wapi ili tukuelekeze wapi unaweza kupata.
kwaali 2 years ago
more Power! LADIES
k4sammy 2 years ago
JESUS LOVE ME
I KNOW THAT
123hare 2 years ago
Hakuna kila tu ya kushinda mungu.God bless Aic chang'ombe choir.where can I get dvd for this song?
jerkipmar 3 years ago