tangu mwaka 1965 nadhani kama sijakosea ndipo bendi hii ilipoasisiwa, nyinyi wakusanyaji wa muziki fanyeni jitihada kuiingiza bendi hii ktk kitabu cha guiness , kwani ni bendi pekee ulimwenguni iliyoweza kudumu kwa miaka mingi zaidi. ilikuwapo bembea jazz ya guinne lakini nayo imeisha sambaratika, MSONDO INASTAHILI KUINGIZWA KTK TABU HILO
ooooooh,masikini mnanikubwusha mbali mzee mwenzenu,miaka ile ya 70 nilipokua kijana,eee majuto na wenzako fanyeni mrudi nyumbani mmeacha wake mloowa kwa picha
i can't speak swahili! what a pity, but those tanzanians are true musicians. i hope to see them live one day.
thanks for posting1
piquedard 11 months ago
Asante sana kwa kuweka miziki hii. Naomba kama kuna uwezekano tuwekeni ule wimbo,"" TALAKA REJEA""
edgestun 1 year ago
Ifoza kuna kilimo na uvuvi wewe mzaramo.
genda68 1 year ago
tangu mwaka 1965 nadhani kama sijakosea ndipo bendi hii ilipoasisiwa, nyinyi wakusanyaji wa muziki fanyeni jitihada kuiingiza bendi hii ktk kitabu cha guiness , kwani ni bendi pekee ulimwenguni iliyoweza kudumu kwa miaka mingi zaidi. ilikuwapo bembea jazz ya guinne lakini nayo imeisha sambaratika, MSONDO INASTAHILI KUINGIZWA KTK TABU HILO
MrSinafungu 1 year ago
wooow love the song
AYANSIYAT 1 year ago
que ritmo tam bueno.. me gusta.. desde venezuela
champetaafricana 2 years ago
Unachemka.
MartinEdbom 3 years ago
Msondo Ngoma Music Band, This rocks !!
Great vocal voice and splendid guitar work there.
Thanks for this great post.
helsloot 3 years ago
ooooooh,masikini mnanikubwusha mbali mzee mwenzenu,miaka ile ya 70 nilipokua kijana,eee majuto na wenzako fanyeni mrudi nyumbani mmeacha wake mloowa kwa picha
jinibahar6 3 years ago