Rafiki yangu kutoka tanzania mala yakwanza akasema shoga nikachangaa akasema mimi rafiki yake ni shoga watazania ni rafiki lakani sisi wakenya hatuipendi io jina, lakini ukweli io ndio kiswahili sanifu, mkenya Las Vegas
hi everyone, I'm not from Africa but i love african taarabs, so i'd like to know where i could watch a taarab of "Fatima dogodogo" i realy love here, dn't know if you know her.. asanté sana lol
bi khadija mwambie tena, viguo vakugawiwa kipi unachoringiya!!!! bwana uliyemteka mwenye mali kesha juwa, hehe lete raha
mshelahalisi 2 months ago
khadija Kopa is coming to Milton Keynes 29th of October.
facebook search for africansplashuk
montanafarrah 4 months ago
holla holla sasa hapo hapo. midundo taaarab
Generalidibabu 6 months ago
Rafiki yangu kutoka tanzania mala yakwanza akasema shoga nikachangaa akasema mimi rafiki yake ni shoga watazania ni rafiki lakani sisi wakenya hatuipendi io jina, lakini ukweli io ndio kiswahili sanifu, mkenya Las Vegas
Mumbi42 7 months ago
Maskini, msi mnyang'anye.
Espenji 7 months ago
Halo halo hapa ndipo sasa, nitavuka mpaka sasa
lion45ist 7 months ago
doh!hii ndiyo mishangingi kweli
TheAbdu1980 9 months ago
@TheAbdu1980 wasema mashangingi? hawa ni mashambega
tomadhra 2 months ago
mhh waswahili?
MegaMindU2 10 months ago
this song is like my mom's favorite song.
MsAsha5 10 months ago
I thought shoga meant = gay mbona wana sema una ringa shoga?
cunsuri 11 months ago
@cunsuri ,shoga kwa kiswahili sanifu ni rafiki.
TheBlessedbeyond 10 months ago
@TheBlessedbeyond Oh that is scary bruvva... im gonna stick tp Rafiki
cunsuri 10 months ago
@cunsuri The term means ' Girlfriend' which I suppose also applies to Gay Friends
kokwi 10 months ago
@kokwi wow, lol. I hate the word shoga. Rafiki is the best
cunsuri 10 months ago
mhuu mama wewe umooo mwacheni aringe wakati unamruhusu akizidiwa ataenda loliondo kwa babu kikombe kimoja tu kila kitu poa
TheMarveller 11 months ago
ugali mototo ni tamu..
nasrullah1983 1 year ago
hajapima huyo asinge kubali kusutwa
jayblackxxx 1 year ago
hoye hoye!!!!!!!!!!! eti unarusha roho na matusi chungu nzima. kaa mwanzo upime unacho chakuringiya??????????????????
mshelahalisi 1 year ago
hi everyone, I'm not from Africa but i love african taarabs, so i'd like to know where i could watch a taarab of "Fatima dogodogo" i realy love here, dn't know if you know her.. asanté sana lol
karimizak 1 year ago
Comment removed
derisa71 1 year ago
hahaha dada khadija wape............... nikweli wanaringa wamepima mimi roho imetuliya nimepima tena nimetuliya.......................
hakim7777ka 1 year ago
vituko uswahilini
tamaduni 1 year ago
i love her....
sophiamophia 1 year ago
ilove you two in one khaija kopa.
kingmomo95 1 year ago
haloo halooo!! imetulia hiyo...kazi yako kuvuruga....na vimini vya kutisha,,kiulaya unaiga,,
tinyteaser2007 2 years ago
haloo haloooo nalende jahazi hilo!!!!!!!!!!!!!, khadija kopa bibie wamipasho muulize vizuri amepima huyo? nini anachoringia?
mshelahalisi 2 years ago
unaringa ina mana gani ?
jimbo njema kabisa
samomoi 2 years ago
conceited / boasting
kokwi 2 years ago
jimbo hili lizuri mno...ati aringa amepima.
AngryAfrikan 2 years ago
conceited,
kokwi 2 years ago
eti aringia figa,,na vimini vya kutisha,,ulaya waiga,, wee,,
sione soo,,sema.
mziki taratibu,,sante sana.
wilnnlights 2 years ago
mama wacha kuchukuwa mambana za watu. Tafuta yako ukwini iko mingi.
Generalidibabu 2 years ago
ai jemeni.............wacha niache tu!
rk097 2 years ago
yaaaani maneno maneno yake jamani haloooo unaringa umepima
MUPEENZI 2 years ago
my mum's favourite song,. i like mavazi haki nice dressing's
latifahmoody 2 years ago
same tradition in country ;;;; amazing
strongboina 2 years ago
unaringa shoga
kauzi23 3 years ago
ok sir
abdulthabet 3 years ago
asante sana .
Generalidibabu 3 years ago
Please post more of Khadija Kopa. One of the greats of modern taarab.
kokwi 3 years ago
hahaha nice one Ramso007 shukran!
nawal01 3 years ago