the song makes me feel high
ssamawadhe 10 months ago
keep it up bro
TheMuyoma 1 year ago
keep it bro
Asante sana. I gave you five stars. your unique in a way. Your the only one i have seen writing the song so that the viewers can sing along. mungu bariki wewe
MRMUTOONI 2 years ago
asante sana rafiki!u understand my purpose.roho
ps asante wewe 4 ur swahili lessons!
rositafoschi 2 years ago
kama safari ya mapenzi ,
nataka kuanyaanzisha mimi na wewe,
umepita, nimeona wengi, jua moyo umekuchagua wewe(x2)
nikiwa karibu na ua ridi,
basi na mimi nitanukia,
kukuoa inanibidi, kwa kila hali umenivutia(x2)
[chorus]
unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi,
mimi ni yule yule tuliosoma nawe kidato kimoja ah ah ah(x2)
unajua mtu halazimishwi kupenda, anapenda mwenyewe,
basi usiniguzishie kidonda, wakati unajua dawa ni wewe(x2)
nitapata mimi ama nitakosa, utanisononesha kama unikosa
kiangizi hata mvua za masika, nikikukosa jua naweweseka(x2)
chorus(x4)
asante sana kwa teste yako <3
josepha401 1 year ago
na mimi unanikumbuka, hizi dharau unoleta
na matunda ilishaiva, tulibandue maganda
ukikumbuka ulikota,
mama we, dada wewe, unanitesa sana
mama we, dada wewe, mbona unanichanganya