Added: 1 year ago
From: apovipi
Views: 9,272
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (5)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Assalamu alaykum, Maalim mimi namshukuru ALLWAH kwa kukuwafikisha kuweza kutulingania waja wa ALLWAH duniani kote hasa hapa Ulaya Hakika hii ni nema kubwa kutoka kwa ALLWAH, kwani kama hapa Ulaya kuna mambo mengi yanayowezakutushawishi mpaka kufikia Kutetereka kwa imani zetu, ila tunapo jaaliwa Kusikiliza Waadhi wa ALLWA kupitia kwako tunajikuta kurudi na kuimarika kwenye DINI yetu, Mimi naamini ALLWAH yeye ndiye anajua malipo gani atakulipa, Na mimi namuomba ALLWAH akulipe kila la kheri.

  • NDUGU ZANGU KATIKA IMANI JEE MUMEJIANDAA NA SAFARI ISIYOHITAJI VISA WALA TIKET AMBAYO HUMPATA KILA MTU.KULLU NAFSIN DHAAIKATUL MAUT

  • hakika kila nafsi itaonja mauti kwa hivyo waja wa allah tumche mwenyezi mungu

  • mwisho wa usela na ujana ni umauti tuuu tumche mungu kwa sala na zakka na mambo ya kheri

  • jala jalaal..

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more