Kwa kweli, dhalili vile serikali ya kenya unavyobagua waswahili wenzetu mombasa, hamna hata robo jitihada ya kujaribu kutimiza maslahi yao!..lakini haya yote ni makosa ya wakoloni, kuidumbukiza mombasa kenya, kwani mombasa ni Tanzania!
Mkuki2000. Mombasa haijawahi kuwa sehemu ya Tanzania hata siku moja. Mombasa ilikuwa sehemu ya Utawala wa Sultan wa Zanzibar. Wakati huo Zanzibar haikuwa sehemu ya Tanzania. Hakukuwa na Tanzania bali Tanganyika! Ukizingatia historia vizuri, Mombasa ilikuwa sehemu ya Kenya kabla ya Zanzibar kuungana na Tanganyika. Mombasa ilipoungana na sehemu nyingine za Kenya kwenye vikao vya Lancaster, ndipo Nyerere naye akazua suala la Zanzibar kuwa sehemu ya Tanganyika. Usisahau shinikizo za Marekani!
mkuki2000 Hiyo miji ulioitaja ilikuwapo kabla ya Tanzania. Nami nakupasha kwamba upwa wa Afrika Mashariki tangu Kismayu mpaka Kilwa ulikuwa kwenye himaya ya utawala wa Sultan wa Zanzibar. Hayo maeneo yalijumuishwa kwenye nchi zayo baada ya uhuru. Hata tukajitia purukushani, Tanzania imetokana na Tanganyika na Zanzibar! Ukisema kwamba Mombasa ilikuwa kwenye himaya ya Sultan wa Zanzibar, utakuwa umegonga ndipo. Miji ya Mombasa, Malindi, Lamu, Manda, Siu, na Pate, yote ilitawaliwa na Sultan.
Wee fikiria kwanini hiyo serikali yenu ya wakukuyu inawabagua wamombasa, ni kwasababu wanajua kwamba hawo ni waswahili halisi, kwa mila, desturi, dini lugha hata utamaduni.
mkuki2000 Nitakupa ukweli wa mambo. Si watu wa Mombasa tu wanaobaguliwa bali waislamu. Mambo yamezidi hasa kwa hivyo visingizio vya ugaidi. Na serikali ya Kenya inajumuisha makabila mengi. Je unajua mashauriano yaliyotukia Lancerster kuhusu hatma ya ardhi iliyoko maili kumi kutoka katika upwa wa Kenya? Kama huna habari, na ili kujifahamisha mambo zaidi, niko tayari kukupa taarifa zote. Mara nyingi huwa tunataka kufidikiza ukweli ilhali mambo yanajidhihiri yo yenyewe paruwanja!
Kutamaushwa kwa matumaini ndiyo nini? Ama kweli Kiswahili kimezoroteshwa kwa kiasi kikubwa! Juzi kuna mtu kasema "mavuno yameshindwa kuwastahimili wakazi wa Kibwezi": Jamani kulikoni?
Mtu hushinda mahali kwa siku moja. Hicho ndicho Kiswahili. Kama ni siku zaidi ya moja inabidi useme " wamekuwa wakishinda kila siku kwa muda wa siku sita".

mkuki2000 2 years ago

buashraf 2 years ago
Comment removed

Okay.. that was a great video! really made ma laugh! I liked it alot! I wanna watch it over and over again now!! I t really had me laughing!
Chick6517 3 years ago
I wonder how much millions Nakumatt, Govt, and City Council for dereliction of duty to these people. Perhaps KSh. 5million per each person lost?
edenskid 3 years ago
bw mongou, am very proud of you! keep it up, chinyu. toror kainet tap koret!
sirkoitimothy 3 years ago
This has been flagged as spam show
Kutamaushwa kwa matumaini ndiyo nini? Ama kweli Kiswahili kimezoroteshwa kwa kiasi kikubwa! Juzi kuna mtu kasema "mavuno yameshindwa kuwastahimili wakazi wa Kibwezi": Jamani kulikoni?
buashraf 3 years ago