Kicheche ni jina lake. Ujambazi ni kazi yake. Starehe yake ni ulevi na wanawake.Siku moja aingia kanisani na kutaka kutoa pesa za wizi kama sadaka. Mchungaji azikataa pesa zenye damu ya watu, na kumuombea sala ya toba. Kicheche aokoka na kuwa mtu wa maana sana katika jamii. Igizo limetungwa na Munishi. Picha zimechukuliwa Moshi Tanzania. Kijijini alikozaliwa Munishi. Kamera iliyotumika ni moja, na mchukuaji wa picha ni Munishi. Mwelekezi ni Munishi.Ubora wa sauti ni Munishi.Ifurahie Movie hii.
mambo wipi....Kicheche is PLAYBOY ???
Kwaheri
divanino63 3 years ago
Inatisha. Weka yote tupate uhondo kamili.
gospelgtv 3 years ago
Kicheche ni jina lake. Ujambazi ni kazi yake. Starehe yake ni ulevi na wanawake.Siku moja aingia kanisani na kutaka kutoa pesa za wizi kama sadaka. Mchungaji azikataa pesa zenye damu ya watu, na kumuombea sala ya toba. Kicheche aokoka na kuwa mtu wa maana sana katika jamii. Igizo limetungwa na Munishi. Picha zimechukuliwa Moshi Tanzania. Kijijini alikozaliwa Munishi. Kamera iliyotumika ni moja, na mchukuaji wa picha ni Munishi. Mwelekezi ni Munishi.Ubora wa sauti ni Munishi.Ifurahie Movie hii.
Munishi2 3 years ago