why always victims have to ask or forgive ,that bad manner of anglo-saxon is kind of hypocrisy , they atr the ones who are behind of all the bad things happened in Kôngo,and here they come telling you to forgive those criminals,stop that kind of game.those batutsi rwandese so called banyamurenge were the first people to kill Kôngolese , they started the war in 1996, so why ,victims have to forgive ,bastards ,they should come and say that they are sorry and asking f
Bon,merci kwa réponse yako ndugu kisombola,niliwaza labda msamaa unaosemwa hapa unahususiana na vingine ao uvamizi wa lyéto hitete,kumbe ni mambo mengine,ok...ça va.
Umeuliza ni wanani wanasamehewa hapa. Tafadhali sana. Wabembe tunaishi na matatizo mengi sana. Wamama wanaishi wakifunga mambo mengi rohoni ku fwatana ka vile wanaume wakibembe wanawashika na wakisingizia mila. Kuna shida ya ya vile wanawake walinyanyaswa katika vita. Basi si maana kujuwa nani walikua wanasamehe kwani ile ilikua siri ya kila mmoja wao. Aksanti
Nataka dada Adidja anieleze vizuri juu ya ule dada mwenye alikuwa anasema juu ya kusamehana wakati wako pembeni ya bahari anavaa kikwembe muko madowa ya rouge na kitambaa cha vert (green)hawezikuwa dada mmoja alikuwa anakaa kwa kaka yake uvira pembeni na Ule munyarwanda alikuwa Ahitwa Mwafrikapembeni ya Amanyola na Mzee Adolph pa kakungwe-Uvira kama niyeye ukimwambiya tu Akili RAfiki yake marehemu Rubin anakusalimiya na kama siyeye basi .

aambamakye 1 year ago
Bon,merci kwa réponse yako ndugu kisombola,niliwaza labda msamaa unaosemwa hapa unahususiana na vingine ao uvamizi wa lyéto hitete,kumbe ni mambo mengine,ok...ça va.
fannyjolie 3 years ago
Salamu
Umeuliza ni wanani wanasamehewa hapa. Tafadhali sana. Wabembe tunaishi na matatizo mengi sana. Wamama wanaishi wakifunga mambo mengi rohoni ku fwatana ka vile wanaume wakibembe wanawashika na wakisingizia mila. Kuna shida ya ya vile wanawake walinyanyaswa katika vita. Basi si maana kujuwa nani walikua wanasamehe kwani ile ilikua siri ya kila mmoja wao. Aksanti
Kisombola 3 years ago
Nataka nijue nani munayemsamee hapo.Anayeomba msamaa yupo wapi,ni huyo muzungu ndiye aliyewakosea kwa ajili ya kuja
kuwaona ao nani?Naomba munieleweshe tafadhali
Mwakole Wabul'inose!!!
fannyjolie 3 years ago
Unaweza soma commentaire yangu ambayo ni jubu kwa swali yako.
Kisombola 3 years ago
wha ma'ha abenga acwe twalélé ngyalà umo'é
Nataka dada Adidja anieleze vizuri juu ya ule dada mwenye alikuwa anasema juu ya kusamehana wakati wako pembeni ya bahari anavaa kikwembe muko madowa ya rouge na kitambaa cha vert (green)hawezikuwa dada mmoja alikuwa anakaa kwa kaka yake uvira pembeni na Ule munyarwanda alikuwa Ahitwa Mwafrikapembeni ya Amanyola na Mzee Adolph pa kakungwe-Uvira kama niyeye ukimwambiya tu Akili RAfiki yake marehemu Rubin anakusalimiya na kama siyeye basi .
aambamakyemaaya 3 years ago