Added: 2 years ago
From: lucaslangworthy
Views: 11,296
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (4)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Jamani we mama mbona mnyanyasaji hivyo, Huyo kaka alivyohamia hapo kama nakuona vile kichekoooo! Sasa hivi unamwambia kawakuta wenzie. Duh kweli wenye nyumba mmeweka pesa mbele!

  • Hii ni moja ya film chache iliyoenda shule....ma-actors wake POWA!!

    zingine za hapa kwetu bongo ni za hali ya chini chini chini! Kuna watu ambao huzaliwa na kipaji cha uigizaji.Mtu kama JOTI wa comedy Tanzania , he could/can be the best from the best, hasa akipata some few classes- akitoka hapo atatoa KOMESHA YAKE ! mpaka sasa Joti is one precious sbd born talented, he`s all round! wengine SHULE TU NDIO DAWA!

  • Weka English captions. Safi sana! Nakumbuka walivyokuwa wanapiga hii scene pale kwa marehamu Reggis Magomeni.. Kweli Juma kawa mzungu anataka kupeleka bibi wa watu mahakamani!

  • idumu tanzania

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more