Added: 4 years ago
From: Munishi2
Views: 182,898
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (94)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • This song brings back all the memories flooding back in the day when he used to be my Quzos Neighbour in Donholm I grew up knowing him Munishi jus great blessed Voice

  • jamani huu wimbo nakumbuka tukiimba in 1997 wakati nipo darasa la saba asante sana!!!

  • i love ur song malebo i used to listen to your song 1993 with my aunty and now am enjoying it in england thank you so much malebo

  • Aliyekuwa Rais wa tatu Tanzania Benjamin William Mkapa tulisoma pamoja, Michezo ya utotoni tukaicheza Pamoja. Sasa ni watu wazima na mimi Nimeokoka au kuzaliwa mara ya pili.  nikimwambia Aokoke yeye anaruka Kimanga. Niliposema CCM Imezeeka, Mkapa alitaka kunitoa Roho. Najua Tatizo lake. Sikia wimbo huu. TRACK : Namlilia Malebo - By Pastor Faustin Munishi GTV

  • malebo huyo mbona ni hatari kweri

  • Comment removed

  • wimbo umenikumbusha mbali sana. ts a great song. i love it.

  • i love this song

  • God bless you Pastor Munishi

  • i hadnt heard this song like maybe 14-15 years..... I remember travelling to Nakuru and listening to this tape over and over again. Blessed love to munishi, i believe a few million east africans have and will forever be touched by this voice and message to inspire and motivate them. More powers

  • Thanks munishi for this nice song ever time i here this song i rmbr ma late sister may you REST IN PEACE SIZ MISS U BIG. thanks munishi.

  • I don't like his smile

  • we need singersa like Munishi keep the good news of our LORD

  • Good message and keep it up but you could use different angles for the camera instead because its always the same. Try looking up some tips on how to make a music video. PS its good to talk about politics because the Word of God should be spread into every aspect of life,NOT JUST "religion".

  • Hongera sana Pastor Munishi kwa kuihubiri injili kwa njia ya uimbaji. Song hited in 1980's and 1990's.

  • great song nime jaribu kutafut zingine but nime hata this one of my best childhood songs

  • good

  • men guys they don´t belive they need to be informed more abt the word of God

  • people trying to mix politics and religion. why bring politics to this christian song. there are alot of other means to express your political an tribal views. join a political blog and leave religion to the religious.

  • cool video man

  • Wewe masaikweli wacha siasa za pesa nane na kufuata upepo wa mambo huelewi. I hope the king of all Marebos General Ruto and his lookalikes aliases  the Congolese lebel general Nkunda all get the marebo message. Malipo ni papa hapa.

  • @ mukenia 12,,,,kila kitu ni siasa na ruto,hata u cant get the message from the poor preacher,,watch out you might burn in hell with ur ruto ,,u idiot

  • Wonderful song, endelea kukemea uovu katika jamii hiyo ndiyo kazi ya dini na Mungu atawaokoa wanasiasa watabadilika na watatoa ushuhuda siku moja.

  • pastor unasemaje kuhusu obama?

  • Pastor, thanks for your gospel messages,

    they have contributed to strenghtening my faith.Dickson-Amsterdam, the Netherlands.

  • ohh Thanks Pastor Munish you are reminding me the time when i was a little kid, God bless you, Mary from Finland, my mum used to like this song a lot

  • My dad played it in the car when taking me back to high school boarding.

  • wao thats great, mary

  • Man, you had good songs. Lakini ulipo shanganya dini na siasa.............wewe ni bure

  • I remember in this same track munishi undermined thepositionof women in society i hope he has seen thelight

  • no he has not!

  • God bless you Pastor Munish.Rev, G.M

  • I am from Congo and we have huge respect to what Pastor Munishi has accomplished. His message has travelled beyond borders and thanks to Internet technology we can watch him singing and spreading the word of GOD. Keep up Pastor, God bless you with your familly

  • saw you when i was12 years in kenya taveta,lov ur sngs

  • iam kenyan but i dearly love the tz swahili it is more than wonder the way they speak is like wao i used to watch this guy in one program in kenya when he used to live there i think he went back to tz

  • he is still in Kenya,

  • Man I love your songs..

    endelea kuimba as God continues

    to bless you in all that you do..

    thanks MUNISHI...

  • cool, mambo safi sasa, i can see u didn't forget this guy.

    Man, i remember using the rhyrics, in most of primaris ngonjera.

  • I always love your songs,they made me to get saved.God bless you and may He continue to empower you to sing more and more and to spread his word.God can change anyone

  • malebo ni Ruto plus kina Kosgey. If Raila nominates these two fellows pnu will resign from the cabinet.

  • Hi Munishi, I always loved your songs. I was a missionary in Tanzania from 1994 to 2003 and your songs were already famous then ...

  • Asante ndugu yangu mswisi. Mungu azidi kukupa nguvu urudi tena Tanzania. Bado INJILI tunahitaji.

  • Watanzania waendelee kuhubiri kwa wenzao. Mungu akupe nguvu pia kuendelea huduma yako. Afungue milango mapya!

  • munishi tafathali weka wimbo wa nne na wa mwisho katika volume 6 tafadhali....lo! nipe jibu bana???

  • good stuff

    but what is kuokoka if anyone can tell me

  • Getting saved, or in other words, accepting Jesus Christ as yo saviour in this case.

  • Kuhusu nani ni MALEBO, Hiyo mtajijazia wenyewe.Angalieni kwa makini nani ambaye sifa za MALEBO zinamkaa sawa sawa, Kisha toeni maoni yenu. Ila naona wengi hawakosei. Mtu ambaye Dunia nzima ilikuwa kinyume naye isipokuwa MUSEVENI pekee, Huyo ni nani? Mtu ambaye Walimstahi ndiyo maana wakapendekeza agawe madaraka, ni nani? Ninapomlaumu simhurumii namsaidia.

  • Malebo ni Kibaki na Martha Karua. Munishi, Mungu akubariki!!!

  • Malebo ni Raila na Ruto. Wanataka uongozi mpaka wamewaua wakikuyu wote huko R.V. Raila ni Malebo na hatumae, ataenda zake jela pamoja na Jaluo jinga.Waonaje Munishi?

  • Asante Munishi kwa wimbo mzuri. Je Malebo ni KIBAKI wa KENYA?? Maana kama ulevi Kibaki ni mlevi. Kama ni wake Kibaki ana zaidi ya mmoja, na wengine amewakana. Kama Utapeli, Kibaki alimtapeli Raila kwenye MoU na sasa amewaibia Wakenya kura na kukatalia madarakani, Na sasa wakenya wanauana kama kuku na Kibaki hajali. Naona MALEBO NI KIBAKI.

  • mmmh! Super Interesting!

  • thats sounds like it you are a real thinker

  • great message people should listen to what he has to say

  • Nazi penda sana nyimbo zako, ebu ubarikiwe na Mungu ndugu na uzidi kuimba,...

  • thank you munishi i love your songs

  • mimi muislamu likini wimbo huu wanikumusha undungu wakenya tumsikize huyu muhenga

  • GOD bless u munishi.

  • Mnishi mungu aendelee ku bariki saidi na jamii wako, priase the Lord.

  • On the contrary I love this song. Praise him, I Lover your voice

  • Baraka za Maulana kwako mchungaji kwani sikupata fursa ya kumwimbia rafiki "malebo" kabla ya kuaga dunia mwaka ulopita. Sasa wale walokaribu nami bila shaka wataupata huu ujumbe wako.

  • this song touch my heart all the time it sings i feel like crying

  • Thanks alot, your song made me strong in Germany..as i came 1989 and i had your casette in my bag..you always made me happy< when i was sad..Thanks alot

  • munishi catholic pia nikanisa lakini watu wengi walitharau sana kwaivyo ungependa kuwashauri vipi jamani kwasababu mimi ni mkatoliki jibu upesi

  • munishi huyo ni bibi yako unaye imbanaye na huyo nimsichana wako na hako ni kajuniour kako ama vipi jibu tafhathali

  • munishi napenda uhubiri wako sana especialy pale ambapo umesema wasiamini wanapona kwa kuangushwa mimi ni mkenya naishi ujerumani mungu akubariki

  • more songs please.very gooood song.

  • nice song God bless your voice tumpende yesu

  • heko mtumishi wa mungu barikiwa kwa ujumbe ambazo unatupa kupitia kwa nyimbo zako miye hapa natoka kenya naishi uingereza .heko

  • Asante sana. Umbarikiwe

  • memories are made of this. It reminds me of home sweet home. Thanks for posting. MIssin TZ...

  • big tune. God bless

  • yaani you have a very blessed voice.ile inanijazingi God bless u is that u sing the whole truth.Karry from Germany.kud u plis say hae to watu wa simba centre akina solo, mutaara en salome.

  • memories are made of this. It reminds me of home sweet home. Thanks for posting.

  • Great!!! very goood !!

  • sasa wewe kama mtumish wa Mungu kama waona makosa kwanini usiende live na kumwambi kwamba rais unamakosa haya na haya ,sasa kusemea kwenye vyombo

    vya habari unaonanaje kama ungemuendea live na utakuwa umefanya kitu kizuri na ushuhuda mbele ya mungu? kuliko kusemea mbali tena nchi ya watu huoni huoni kama huna tofauti na mtu mtetaji? na biblia inasema mpende adui wewe huoni kama unamaadui na wewe ni mtumishi wa Mungu?

  • Wacha mujeso yako hapa. Hii watu ya CCM ni wesi, wauaji, matapeli kama baba yao Nyerere. Sasa unataka Moshungaji iende kwa wauaji wakamuue? We mara ngapi umeiona hii KIKWETE. Inalindwa kwani wale CCM iliyotapeli wanataka kuwatoa madarakani. Wao ndiyo itafute Moshungaji siyo moshungaji itafute wao.

  • blessed voice munishi.i could give my all just to sing with the same faith as you do

  • i love this artist he sings truth only. hes real good may God bless him

  • Hello, are you sure you are the real Munishi? If you are, just wanted to say I really like your music. God bless you!

  • kazi safi poster, sasa kwanini unachanganya siasa na dili? na wewe mtu wa nungu,na biblia inasema tuheshimu mamlaka zilizoweke na mungu huona na serikali imewekwa na mungu sasa mbona watenda dhambi kuikashfu, Na yes alisema yakaisali tumuachie kaisali sasa wewe mbona wakufuru? .Fanya kazi yangu poster

  • Siyo kila serikali imewekwa na Mungu. Je serikali ya wakoloni iliwekwa na Mungu? Mbona Nyerere aliwatoa wakoloni? Je ilikuwa ili awatawale watanzania kimabavu akitumia CCM chama cha majambazi? Hao ndio ninaotaka kuwatoa madarakani kwani hawakuwekwa na Mungu. Wanawatesa Watanzania, Wanawaibia, Wanawanyanyasa. Tunasema imetosha. CCM hatuitaki.

  • i miss you munishi. bado nakumbuka gari ya moshi

  • Mungu akubariki kwa uimbaji wako uliojaa upako. Sijaziskia rekodi zako kwa zaidi ya mwong mmoja sasa na nimefurahi sana kupata nyimbo hizi katika mtandao. Naishi London sasa hivi na ningependa kujua kama naweza pata rekodi zako na kuzinunua kwa mtandao? Baraka tele.

  • Great job! Keep up the Good work!!

  • i'm listening to munishi rite naw. i like his music

  • Kwa sasa sina namna ya kuuza CD au DVD kwenye Internet. Pengine baadae. Kile unachoweza kufanya ni kama una mtu Kenya, waweza kumtuma akununulie na atume kwako.

  • tafadhali weka ukimwi

  • mungu akubariki sana mchingaji Munishi lakini kuna namuna unaweza ukauza cd/dvd zako kwenye internet ili wale tulio mbali na africa tuweze kuzinunua? asante sana mushi.

  • Keep it up Munishi

  • Ahsante sana Munishi. Mungu azidi kukubariki

  • mungu nimwema nim,eshukuru sana

  • awesome song,Mchungaji Munishi asante sana kwa hizi nyimbo nzuri za mungu mimi niko mbali sana na africa lakini kila mara nikizikiza hizi nyimbo nafurahi sana kuna mahali kwenye internet naweza kununua cd au dvd ?mungu awabariki watumishi wake.

  • nice song. where can i buy the cd song?

  • Awesome video MUNISH.

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more