Added: 4 years ago
From: Gregbeny
Views: 74,877
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (16)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • good

  • Ndi EmmanuelNkeshimana USA izi ndirimbo z'uyu mupfasoni ndazibuka nkiri muri TZ,tuzumva turi mu misi mikuru de mariage ,nca nibuka twicaye hamwe abantu benshi muri youth center twinywera twirira inyama zitetse neza n'umuceri eka n'umutsima. Nca nkumbura.

  • Barikiwa sana dada Bahati.

  • Dresden aos 08.06.08 Germany

    Forza africa/MZAMBIQUE/

  • 6.04.008 Deutscheland.(Alemnya.

    Boas musicas viva afrika kanimambo,Mama.

    Makololo

  • Yea, Ikulu ya mbinguni is real. Hakuna mchezo, wazinzi, walevi, mashoga, wezi, wauwaji,etc... hawataingia huko!

  • Nadhani wewe unahitaji msaada wa kiroho maana kama hujui kama utaenda mbinguni ni hatari sana,Biblia inasema Bwana Yesu ameenda mbinguni kutuandalia makao ili mimi nilipo nanyi muwepo,yaani alipo Bwana Yesu na sisi tuwepo hapo,sasa wewe hujui hata kama kuna kwenda mbinguni,nakushauri umuone mtu yeyote aliyeokoka akusaidie kiroho usije ukapotea ndugu yangu mpendwa

  • Heaven's State House!!.

  • Tena bwana yesu akasema mimi natungulia kwenda mginguni kuwa andalia makao ili nilipo nanyi muwepo,hivyo tunajua siku moja ktk hiyo ukulu ya mbinguni tutaonana na bwana Yesu,ewe dada yangu uelewe kupingana na neno la mungu na kufuata dini uliyonayo ni laana,imani inayoweza kukusaidia ni neno la mungu kupitia jina la yesu yaani kuokoka,inakubidi ni lazima uokoke ili ufutiwe hiyo hukumu ya kutokuamini kwamba kuna kwenda mbinguni kwa baba

  • wewe NIENDIWE Ndugu sielewi kabila gani,dini au jinsi wala sura gani?bali ninachojua kila kilichozaliwa na mwanamke kitakufa katika neno la Mungu ulilogusia yaani Biblia inasema 1yohana 5:13 nimewaandikia ninyi mambo hayo ili mjue ya kuwa mna uzima wa milele,ninyi mnaoliamini jina la mwana wa Mungu,tena akasema kuhusu kwenda mbinguni soma kwa muda wako 2wakorintho 4:4, luka 10:13-16 ukiwa na swali waweza uliza na ubadilishe imani haba uliyonayo maana unapingana na maneno ya mungu!

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more