Added: 3 years ago
From: bamariz
Views: 165,052
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (53)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Wimbo huu wa Mzenji alikuwa Dubai na kikundi chake.

    Hii ya uhindi kweeli imeharibu, samahani mwenye kuweka hii nyimbo.

  • SKIZA NYIMBO KAMA WAONA 2KO CHEAP USIANGALIE...kuna wengine sijui wazimu hoo hii nyimbo ya tz mara kenya(ukabila 2) wee skiza usitakee kujua umetoka wapi wala hakuna pahali kumeandika huu wimbo wa kenya or tz.enjoy guyz

  • @bamariz Hapo umesema haina huja kuijuwa asili ya nyimbo wala mtunzi na mgani wake, chamsingi lina tukonga nyoyo zetu siye wapenda Old Coastal Taarab.

  • Kweli wimbo zuri, lakini mbona nyinyi mko cheap hivyo kuweka picha za kihindi hapa. Kwani warembo wa kenya, TZ na Zanzibar washa kufa wote. Jivunie kuwa wewe muafrika na uache inferiority complex hiyo unatuonesha hapa.

  • Huyu nilonae sasa,anipendeza kwa mengi. Raha na kila anasa,ndio ukaona sikongi. Sikuregei kabisa,nilikovunja sijengi. Menichosha vyako visa,nakujua kwako kwingi. Ulidhani ntakosa,hukujuwa mko wengi......

  • lol! eti kenya taarab.. no balls huh?

  • love the song

  • is lovely song

  • Comment removed

  • Yes indeed-I should have included birthright, immigrants etc. But in my mind I ment anyone who regards themselves as African-"claim your identity and rightful place" yes indeed- we have "Africans whose ancenstry origins are from else where- this has been the case for hundreds of years to be precise. Thank you

  • I thought there are indians who are africans too.

    

  • I am tired of us Africans, putting each other down..I do not care what part of Africa you are from! I mean anyone who's ancestory is African. I just want to embrace all that is African, we went through colonialization in the physical sense, now the colonial armies are out of Africa, yet we do a perfect job destroying Africa! by allowing religious and colonial mentality run our continent! all those fuddy duddy in politicians holding us back.....where are all the educated Africans?

  • silly pple keep on arguing btwn kenya, and tanzania what nonsence?we are all east africans,the surprice here is the indian clip!bamariz better find us NYOTA NDOGO'S clip.

  • bamariz wakumbuka kwenu jimvu

  • amazing song!!!!! i love bollywood too but i would prefer this song without the vid

  • Nyimbo sahihi bila shaka.. lakini kuna dosari ya picha

  • is abdallah issah from kenya? i rly wanna know the truth here. i am actually desprete on knowing the truth.fanxxxxxxxxxxxxxx

  • issa juma came from tanzania

  • @waminkumaupaku79 his first wife is Kenyan and 3 kids....him,no idea

  • makumbusho jamani!!! Leo tena.....

  • huko ni kuasbudu rangi za watu weupe, na ni udhaifu na uchoyo wa mawazo

  • what are this indians doing in our culture?their should be a lovely swahili woman in her lovely coloured lesso

  • Great love long...........That freaking indian movie ruins it, whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.

  • Masakuu2000 usiwee too harsh ktk kujibu juu ya masuala ya dni, Galbi yuko right dini yetu inaruhusu kukumbushana, kama tarab kila mtu anapenda, na histry ya hiyo taarab ni zanzibar. sijui wewe mwenzangu uko dini gani but that's not the way kujibu kama hivo.. >>>

  • lol.............. that my reaction for this the song and the video is too different.

  • I just love this song he use to

    be my jirani when I was in BEAUTIFUL

    Zanzibar now I totaly missed it soooo muchhhh.......lots  of romantic memories.

    Tanzania is the best country ever ....love it so much...

  • i met him once like 12 years ago in mombasa at a wedding, very great guy hope he is still alive. ur the best Abdallah......

  • Awesome songgggggg!!!!!!

  • kwani nyie hamna wAfrica wa kuwapresenti?

  • tunaomba u apload na huwi tena

  • tumeambiwa unapooona baya likataze,nakama waislamu basi tukatazane mabaya na tuamrishane mema,auwewe si muislamu chunga usemayo juwa kuwa una malaika wawili wanaandika kila usemacho usione sifa bali unajidhuru mwenyewe,binaadamu yumo hasarani soma uelimike.Mola akusaidie ujuwe baya na uliwache na zuri ulifuate Amin.

  • Good documentary footing..I forget the name of the Hindi movie

  • dilwale dulhania le jayenge

  • tobaaa!! kakumbuku utamu wa zabibu lol... mh"! leo tena...

  • PENDA AMA KWENDA ""BADI'

  • salam mwezengu ..nakubali

  • aibu WAZANZIBAR hamna dini nyie upuuzi kwendweni uko,Mola atawahidi

  • EBOO YAMEKUJAJE HAYOOO

  • Kaa huko mbali nasi na dini zako.Watafuta nini humu kwa dunia ya taarab.Neneda msikitini hukaubiri humo.Sisi twa penda taarab na huto tubadilisha.

  • nyimbo nzuri hapo kila ilikuwa na kanga alikuwa na kuazimaa tena nikuwa bshow mamabo kama haya gharama bukhaatir

  • Bamariz, nakutumia salamu zenye thamami za kindugu kutoka London. Asante sana, nyimbo imenipendenza sana. Tutumiye lyrics.

  • Dugu yangu, sina ya kusema, Asante kwa dvd. Nakutakia heri na afia jema.

  • maneno hayo...wataka tena zabibu umekumbuka utamu hata nimethubu kukupa tena haramu..eboooooooooo post zengine bamariz

  • dooh!!dooh!!!nyimbo kali abui..ati leo tena

  • nyimbo nilikuwa niiiktafuta toka bongo..

  • nyimbo hii imetuliya na umetumika utaalamu,maishi, vyombo,na mwimbaji pia

  • do do nyimbo hii kali sana yanikumbusha msa,naitamani sana

  • unatamani ndugu yangu.poa tu nyimbo ni nzuri kweli.

    poa

  • maneno hayo basi.....leta raha!

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more