dooh..simba mwenda pole msenge sio..looool..wallahi huu jamaa malgaya..lool.
TheSitherin 9 months ago
nkumbuka apokuja spaki haaaa pale kwa heavy d...kwa kinyozi
Dymeting 3 years ago
nywachekesha...panda ngazi?.. mguu uta umaa, uthafika yuu yuu mbele mbele.maguu utha uma lol
leiladagreat 4 years ago
mwandazimu! lol
nakumbuka abdallah moi back ina days use to come at uwancha wa tononoka and make us laugh
dullysykes 4 years ago
Mnandi mwitu in the house.abdalla moi kills me.especially when he puts on an indian accent...pioneers of comedy.Big ups!
kiptookor 4 years ago

yea yea
gface9 4 years ago
Nasikia siku hizi kuna "DVD" ya Abdallah Moi. Naambiwa imeshaingia madukani? Je umeipata?
buashraf 4 years ago
sijaipata bado, sidhani kama kuna DVD yake lakini nitaulizia.
mswahilisuper 4 years ago
DVD ipo na nasikia inauzwa Mombasa. Nina jamaa zangu ambao wameniarifu. Hata ilikuwa imeandikwa kwenye gazeti la Standard. Kila la kheri!
abdalah moi kazi kuvuta unga hana time ya kufanya dvd
babuNL 4 years ago
kibokoni zipo dvd kibao
azi69 4 years ago
Ninataraji kuzipata hivi punde. Jamaa zangu nyumbani Kenya wamempa rafiki yangu mmoja aniletee. Kesho InshaAllah nitakuwa nazo.
Jamaa zangu nyumbani Kenya wameshampa rafiki yangu hizo VCD aniletee huku uzunguni.
vipi ushazipata hizo cd za abdallah moi na dvd
Nimeshapata nakala moja ya DVD na kusema la haki haikunifurahisha. Naambiwa ana DVD mbili tatu lakini niliyoletewa haijaandaliwa vizuri. Hata hivoy kuna visa viwili vitatu vya kufurahisha.
put some more abdalla moi dat shit itz jokes
smokeymalindi 4 years ago
add sum more abdalla moi pliz
hilarious. mpanda ngazi maguu tauma.
utajaza 4 years ago
kodole gartas! Abdallah Moi na Zama Uzuke!
haye mambo gani tena haya taka tia kodole
kullaten 4 years ago
lol, mambo ya abdallah hayo.