Added: 3 years ago
From: gracempnda
Views: 29,302
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (15)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Mikono juu

  • Brilliant!

  • Comment removed

  • dunda with insible man.

  • I hate yesu( jesus) but this guy really good.

  • @sctoweett Jesus Loves You!!

  • I AM LOOKING FOR A SONG AND THE WORDS ARE: YESU NI MWOKOEI WA ROHO YANGU EEH. PLEASE CAN YOU HELP.

  • Fantastic song. Blessed be Pastor Emmanuel...God bless you and your family and thanks to gracempnda for uploading this song

  • Your blessed, keep up. Im blessed becouse of you.

    Kiswahili is kiswahili regardless where its coming from.

    Im from kenya mombasa, in the USA but i speak very well swahili.

  • watu wote tunatelewa kuwa kiswahili cha Kongo kimechanganywa na kifaransa, hata sie watanzania pia tunachanganya kiingeleza japo sio sana kama wakenya, wakongo asilimia 100 walielewa nini anaimba, na wale waliomwomba roho mtakatifu kutafsiri wameelwa, ongezeni imani wapendwa sio kumsemasema mtumishi oh kuhusu kiswahili chake, Acha mi nudunde na Yesu ameeeeeeen

  • Dada Faith Kutoka USA,MD mie ni mwana MD mwingine, PG county!..barikiwa na hapo umeamba kweli!..la mno ni kutiana shime..Mimi nilikuwa mwalimu wa lugha mle jamhuri zama zile,na nakuunga mkono kabambe!..fani ya lugha ni pana sana !..kuna vipengele vingi vyake kiasi kwamba hata sie waeledi wa lugha hatuwezi kuvipitia vyote..kila sehemu ya Afrika ya mashariki na kati ina mpangilio wake wa maneno.Pasina kutoleana changamoto jameni tukubaliane kwamba mchungaji huyu ana kipawa maradufu pasina shaka!

  • Bwana asifiwe Mchungaji Ushindi .Mimi ni ndugu Sammy hapa canada.Nafurahi sana kwa nyimbo zako zote ila nasikitikika sana ginsi uliibiwa zamu sana kwa kutukana munyimbo eti "wakisha kukatonga mimba",hapa ulipata ile katika Biblia gani?

    Tuwe pia na kiasi na hekima katika huduma .

    Ubarikiwe

    Pastor Sammy .

  • hi Pastor Sammy. Mimi naitwa Faith kutoka USA, MD. kiswahili saa zingine ni kigumu lakini naami alikuwa anamaanisha kutunga mimba. angalia nyimbo zote amechanganya lugha. usiwe mwepesi kuhukumu.

    fikiria mimi ni muimbaji pia, lakini sio mcongo sasa jaribu kufikiria nikijaribu kuimba kikongo lazima nitachemsha kidogo. hebu tujaribu kutiana moyo. na sio kuhukumiana tupendane na tusiangalie weakness tulizonazo.

    just try to make a point. be bless. peace.

  • nikweli tunadunda mu YESU wala htuna wasiwasi. GOD bless you pastor

  • really nice !!

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more