Kusema la haki tunajikhadaa kwamba tutaungana bila kwanza kuaminiana. Ziada ya hilo tuhakikisha usalama wa raia kwanza. Nchi gani miongoni mwa nchi zote hizo ambayo itadai kwamba ni salama? Kenya majambazi wamekubuhu, Tanzania mazeruzeru hawana amani, Uganda Kony anawahangaisha! Papo hapo kuna Migingo kuna kufungiana mipaka kwenye mbuga ya Serengeti! Sasa huu muungano unamfaidi nani? Je wananchi wa kawaida wamehusishwa? Ukiwategemea mabepari, watadai kwamba kuna ridhaa ilhali hakuna!
integration based on lies in the part of kenyan government officials including Mwai Kibaki won't help much. Honesty assessment and respect of the other countries right to integrate leap the same benefits is the key here! Kenya moja!
All politicians are "birds of a feather, they flock together!" Most of them, the world over, worry about their stomachs. So it is not a wonder to hear disgruntled voices when they know they can gain anything. Kenya aside, some other leaders in the federation want it to constituted hastly because they want to enter into the annals of history as being "the first president of United East Africa!" As portrayed in this video, most common people do not understand the essence of this union.

buashraf 2 years ago

freegastanker1 2 years ago