big up Hamida Malembeka,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
kijana wa lamu bwaga vitu....mambo kama hayo!!! hivi huna video za mibabe ya taarabu kama vile juma bhalo, maulidi juma,sitara butte, malikia rukia, issa matona na wengineo... Hongera mwenechu!
belle mélodie
terguesh 9 months ago
actually hamida is from zanzibar!!!!!we love our girls in znz
marogo99 1 year ago
@marogo99 Zanzibar is paqrt of TZ , Uless I am missing somethinng????
kokwi 1 year ago
@kokwi wen a girl is from nyamwezi we say she is mnyamwezi if she is from znz we say she is mzanzibari dont go all political
marogo99 10 months ago
Hebu angalia jamani mtoto kama huyo anahangaika na chakacha..
Wakati ni wa kupoa home na kujiweka sweeet home....
Ama kweli kwenye miti hakuna Wajenzi natamani lakini!!!!!!!!!!!!!!
MrNass2000 1 year ago
hey this song its from tanzania by hamida malembeka and not from kenyan
chalii1984 2 years ago
swahili girls are the most attractive girls in the world, katamwanagu
wardiya10 2 years ago
Lamuboy this song is from kenya, the dancers, clowns, etc are kenyan not tanzanian.
erc814 2 years ago
ngoma limenoga!!!
Dos17santos 2 years ago
wonderful. Video. Reminds me of home. I am in South Korea
opaka39 3 years ago
Nothing sounds good as Swahili sanifu!!
Si1senor 3 years ago
Just appreciate the song fellas !!
Si1senor 3 years ago
nakataa katakata cha mtu sikitaki!
blacksugaladey 3 years ago
She's gorgoeous masha Allah lakini hao wanaume drag not cute!!!!!!!
thermonuclearthug 3 years ago
Haba Haba Haba
jcurls2995 3 years ago
Way you go girl !!!!
kokwi 4 years ago
vitu hivyo jamani.....yataka moyo kufunga macho....
rk097 4 years ago
weweeee,hachaa hiyo.narudi nyumbani december,mungu nyife nitakutafuta
chapombe 4 years ago 2
Bi' Hamida
Kwanza hongela nyimbo yako nzuri nacheza kila nikiangalia. Me nipo hapa Washington D.C Nitapawapi nyimbo zako na video zako yani anataka kununua.
salha443 4 years ago
tumefurahi maendeleo ya kimuziki nchini tanzania toka muc 72
ismazak 4 years ago 2
sisi tulio mbali tunafurahi kuona viuno vya bongo watoto kama hamida karibu muc72 fr
ismazak 4 years ago
we wodjissa hakoyu soif nami gamotsaho mpedzi
come to comoros islands i m gonna show you the real life baby karibu komori mwandzani
strongboina 4 years ago
jamani hamida embu ingiza nyimbo zingine tuone unavyokata kiuno ----au niko denmark nitanunuaje albamu zako .......
haraami001 4 years ago
chakacha ya noga kabisa..asante mchumba wangu
DJTeezed 4 years ago
walahi...munanikumbusha home...lamuboy keep up good work
abubaker001 4 years ago
big up Hamida Malembeka,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
tanzanianboy 4 years ago
nICE, WE NEED MORE OF THESE!!
Sikhindu 4 years ago
Beyonce and Shakira eat your hearts out !!!
kokwi 4 years ago
mmmhhh nice song.
tunially 4 years ago
mdundo sawa sana. Hongera.
suctionpower 4 years ago
kijana wa lamu bwaga vitu....mambo kama hayo!!! hivi huna video za mibabe ya taarabu kama vile juma bhalo, maulidi juma,sitara butte, malikia rukia, issa matona na wengineo... Hongera mwenechu!
kakaz357 4 years ago
kweli chakacha goma , tena noma. mzee weka zingine, tafadhali, kama unazo.
jibolo 4 years ago
Wacha wewe, mgoma huo!! waholanzi nao wanakata mabuno hapa!
kinyume 4 years ago