Kwani kuna barabara baharini? Vipi iwe barabara ya meli? Mbona isiwe njia au mapito? Barabara nijuavyo mimi imo ardhini na ni njia ipitayo magari, pikipiki na baiskeli.
buashraf 3 years ago