Mmijikenda yupi ambaye yuko kwenye ufuo wa bahari? Swali nzuri? Lakini yupi kati yenu anakaa kama kazi. Starehe tu. Ni saa sita hivi, ninyi kazi yenu nikipinga gunzo tu. Uvivu ni adui mkubwa wa Coast. Wacheni lawama fanyeni kazi. Lasivyo zitaendelea kumilikiwa.
Wallahi billahi!! Chambilecho huyo ustadh hapo mbeleni, mie hapa nimenyang'anywa ardhi yangu akapawa jamaa fulani kutoka bara (Mkoa wa Kati!!). Ni haki kweli hii!! Hii ni njia moja ya kusababisha vita 2012. Mimi napenda amani, lakini wakati huu, sitokubali kuwa mtumwa kwangu!!
VITUKO USWAHILINI
tamaduni 2 years ago
Mmijikenda yupi ambaye yuko kwenye ufuo wa bahari? Swali nzuri? Lakini yupi kati yenu anakaa kama kazi. Starehe tu. Ni saa sita hivi, ninyi kazi yenu nikipinga gunzo tu. Uvivu ni adui mkubwa wa Coast. Wacheni lawama fanyeni kazi. Lasivyo zitaendelea kumilikiwa.
MwanaKijiji7 2 years ago
Wallahi billahi!! Chambilecho huyo ustadh hapo mbeleni, mie hapa nimenyang'anywa ardhi yangu akapawa jamaa fulani kutoka bara (Mkoa wa Kati!!). Ni haki kweli hii!! Hii ni njia moja ya kusababisha vita 2012. Mimi napenda amani, lakini wakati huu, sitokubali kuwa mtumwa kwangu!!
Damunyeusi 2 years ago
I like this.
LetusbFree 2 years ago
Kaka zangu pia miye navumilia kuwa mkenya
pekenangau 2 years ago
huyo hapo(check shirt) ni plant wa wako na kamishona..alivyo zungumza kuwahusu lazima awe anapewa kitu
wachaushenzi 2 years ago
mambo ya uswahilini
bolanye 2 years ago
navumilia kuwa mkenya
mwendapolee 2 years ago
swahili sanifu.....
daisyao 2 years ago
mr omar masumbuko....i know you since 1996. siasa zako ni chafu.!!!!!!!!!!
Fantalbo 2 years ago