huu ni upuzi sema ushuhuda wa kutia mtu moyo huu ni ushuuda wa kushusha moyo. hata wewe mwenyewe unadhambi pia. It is so easy to be judgimental as if you are holy ,being apastor or not we are all sinners .also in your christian walk you have been through staff. by me saying this ,I ALSO, amphasis the fact that as apastor or not apastor should be good letters.MR MUNISHI YOU TOO AS AMENTOUR TO THIS MAN SHOW HIM DIRECTION.Francis mokaya U,S.A. mziwe kama manamba.shame on you.
James Kimwele. Alizaliwa Kibwezi. Alianza kuimba nyimbo za injili Mombasa kwa mchungaji James Maina Nganga.Walikuja Nairobi kufungua huduma mpya ya Neno.Alipata mchumba hapo Neno. Kabla wakutane kimwili akamuona mchumba ana mimba. Tofauti na ile ya Bikira Maria, hii ilikuwa kwa uwezo wa Pasta mwenye ROHO MTAKAVITU. Kimwele alishauriwa asihofu kumuoa mchumba wake, lakini yeye alikataa na kutunga wimbo huu. Japo aliahidiwa kwamba PASTA angelipaia gharama zote za harusi. Kimwele alikataa kata kata.
huu ni ukweli ashaanimba habari hii kwa kirefu mutu wa mungu munishi saidia huyu kijana arecodi album ya pili nyimbo nzuri mwambia salamu kutoka UK.Simba

TheMokaya 1 year ago
Pole James Kim. Mungu atakupa mchumba mwingine.
gospelgtv 3 years ago
James Kimwele. Alizaliwa Kibwezi. Alianza kuimba nyimbo za injili Mombasa kwa mchungaji James Maina Nganga.Walikuja Nairobi kufungua huduma mpya ya Neno.Alipata mchumba hapo Neno. Kabla wakutane kimwili akamuona mchumba ana mimba. Tofauti na ile ya Bikira Maria, hii ilikuwa kwa uwezo wa Pasta mwenye ROHO MTAKAVITU. Kimwele alishauriwa asihofu kumuoa mchumba wake, lakini yeye alikataa na kutunga wimbo huu. Japo aliahidiwa kwamba PASTA angelipaia gharama zote za harusi. Kimwele alikataa kata kata.
Munishi2 3 years ago
Wasiliana na Kimwele au PASTA simu +254720544364
Munishi2 3 years ago
huu ni ukweli ashaanimba habari hii kwa kirefu mutu wa mungu munishi saidia huyu kijana arecodi album ya pili nyimbo nzuri mwambia salamu kutoka UK.Simba
kikwathuli 2 years ago
@Munishi2 Call James Kim +254723552655
gospelgtv 9 months ago