Added: 4 years ago
From: manhold
Views: 101,090
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (48)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • tuwache maisha ya utapeli na rushwa na wivu na uongo apo sasa njo tutanyakuliwa na bwana yesu. sio kila mwamadamu wote ,ni wale waliyo fuwa nguwo zaho cafu. GALATIA 5;19 -21. muwe munatuhubiri katika nyimbo mubarikiwe sana,

  • YOU ALWAYS GIVE US WHAT WE DESERVE ,KEEP IT UP BROTHERS & SISTERS. GOD BLESS YOU ALL.

  • Glory to be to God, good song brothers and sisters.

  • ninmebarikiwa na wimbo huu... ahsante sana

  • God bless u all......Dr.Obed Kollins(Asia)

  • jameni waimbaji wa kurasini mzidi kubarikiwa. Asante kwa kuzidi kuliinua jina lake Mungu.

  • Wimbo wa kutia moyo

  • cool

  • bado kitambo kidogo..nawakosa ndugu zangu kabisa Africa lakini muda si muda naja nyumbani!! very good music reminds me of our SDA group huko Mbooni boys! barikiweni, salamu tele kutoka Illinois!!

  • usife moyo ,take heed the night is almost over.

  • saouti ziliso nyooka

    God bless you

  • ukweli kabisa.......bado kitambo kidogo mpaka tukaribishwe binguni:)

    was my moms favorite...alikuwa akiimba hii wimbo asubui na mapema:))

    i love it thanks alot for posting:))

  • Talk to Complete Strangers about any religion

  • En liten stund, när vår resa slutar, skall vi vila till slut framför fötterna på vår Frälsare

  • In deed Kurasini choir. None should give up. We are nearing home. There is plenty of makao at our Father's home and soon...very soon our Lord will come for us. Detta är en fantastisk sång. Ndazi Stockholm, SE

  • This is an Amazing and Perfect message for these days.............It's not too long as we might think........He is coming quickly and His rewards is with Him. May God All Mighty continue to bless the work that He has gifted you with Brethren.

  • Good song, praise our almighty God !!!

  • MBARIKIWE SANA KURASINI.

  • Nawapenda,the seriousness oh let christ be lifted your music is so inspiring.God bless the work you are doing.

    oriango nairobi

  • Mnaniongoaongoa si haba. Barikiweni hadi mshangae na zidi kueneza injili. Tunawapenda hapa Kenya hasa wanakwaya wa Umoja one SDA church Nairobi

  • it feels good when u hear God's people say "we are going home". Nothing gives meaning to my life but the fact that I am going home sooner than I can imagine. Kurasini choir, be blessed! I miss listening to your songs, how I wish I took your records with me!

    Eve - California

  • i love kurasini... reminds me zile masiku za pathfinder na choir in my early.. unfortunately huku holand SDA nimoja tu... but Mungu yuko kwa kila kanisa.

    I miss your songs will buy some nikirudi nyumbani Kenya.. mbarikiwe..

  • luv you guyz very much n may God continue blessing you people. your songs actually takes n leaves me by the gate of heaven, need some more to really go in. kip up.

  • Yes bado kitambo kidogo but kindly post more songs like "Jina lako ni nani ujiulize" I love this song but can't get the DVD

  • God bless the Kurasini choir. It is such a blessing to the world, in this end time.

  • thank for video it remind me back home when we used to song at the church and love video

  • i love this song it speakes to me in more ways then one

  • Nafurahi sana kuusikia huu wimbo, na pia unanipa moyo kua kweli bado kitambo kidogo, Mungu AWABARIKI sana waimbaji wote wa kurasini, na mwalimu wao ndugu Kibaso.

  • Jamani Mungu awabariki sana waimbaji wa kurasini!!!Amen!Lupe of USA!

  • Smetimes when I'm listening to these songs I forget that I'm still on Earth. Thank you so much Kurasini! Your songs are blessings!

  • naupenda wimbo huu sana

  • Leo trh 12 mwz 8 ninakukumbuka sana my loved young brother Godwin,naamini bado kitambo kodogo tutakutana nawe huko,kwenye makao yaliyoandaliwa naamini umetangulia wewe nasi tutafika huko na kuonana wote,nitakukumbuka daima na kukuombea,RIP amen.glory USA

  • Mungu awabariki Kurasini SDA  Choir.

    Najisikia nyumbani ninaposikia nyimbo zenu.

    Niko USA, ninaposikia sauti zenu kweli bado kitambo kidogo.

    Mama Mabada.

  • Naupenda sana huu wimbo nasikia raha sana eh!! wewe Lumoki unauonaje huu wimbo hapo ulipo?Mbarikiwe sana!!!

    Gloria USA

  • Nafarijika sana kusikia huu wimbo,kweli bado kitambo kidogo.

  • respect :)

  • Bado kitambo kidogo tusirude nyumya wapendwa wote. Tujipe moyo wa kuendelea na safari. Nawatakia baraka za Mungu waimbaji wote mzidi kutunga nyimbo nzuri za kuinua imani za wengi. Nipo haja Ujerumani.

  • Kila mara nikijeza kanda za hizi nyimbo za Kurasini SDA najua kwamba bado kitambo kidogo twaelekea jiji na safari ya hii dunia yafika mwisho. Nataraji kwamba tutaonana uso kwa uso na hawa waimbaji na Yesu Mwokozi wetu pale juu Mbinguni mwa Baba Yetu. Amina.

    Nyambat Aori (Fl, USA).

  • Yaani Naupenda sana huu wimbo kila nikiingia YUO TUBE nausikiliza kama mara tatu mfululizo Ndugu zangu wakristo tukaze mwendo tusikate tamaa karibu tunafika mwisho wa safari yetu

    Kumbuka Mungu yupo pamoja nawe.

  • hapo umeongea point!!!

  • Bado kitambo kidogo. I love Kurasini SDA choir. God has a huge purpose for them. They are a blessing. I cannot stop listening to their inspiring music. God bless all.

  • God keep on blessing adventist songs they are realy spiritual

  • more christians songs from africa kenya.l need

  • What a message! This is powerful. I love it. Of course, it won't be long. We'll soon be leaving this world. My friend, don't give up. May the Lord continue blessing Kurasini SDA Choir.

  • Baraka Nyakrere! I think I know you! may I know where you are now? I lived in Busegwe, TZ. now in the USA. I love Kurasini music and I enjoy them each time I visit this site. It reminds me of home. God bless them.

    Thanks, Hume

  • waoh we need this song to incourage each other

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more